Matumizi ya Kahawa kupunguza idadi ya watu wanaopata shambulio la moyo, kiharusi

Matumizi ya kahawa ni tiba ya asili kwa mwili wa binadamu. Habari njema ni kuwa kahawa ina mchango mkubwa katika kuzuia magonjwa ya moyo ikiwemo shambulio la moyo na kuziba kwa…

Jamii Africa

Polisi kuwalinda wanaoshambuliwa na wananchi ili kupunguza vifo vinavyotokana na uhalifu

 Ili kupungu za vifo vinavyotokana na uhalifu nchini, Jeshi la Polisi limesema litawalinda wahalifu wanaokamatwa na kuuwawa na wananchi ambao wanajichukulia sheria mkononi.  Hatua hiyo ya Jeshi la Polisi ni…

Jamii Africa

 Huduma duni za afya kichocheo vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati,

Serikali ya Tanzania imeshauriwa kutengeneza mifumo imara ya kitaasisi itakayosimamia utolewaji wa huduma za afya kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati ili kupunguza vifo vya watoto hao ambavyo vinaongezeka kila…

Jamii Africa

Wanafunzi Hanang wasoma kwa nadharia, Bajeti ndogo yakwamisha ununuzi wa vifaa vya maabara

Serikali ya awamu ya tano imejidhatiti kuipeleka Tanzania katika uchumi wa viwanda na uchumi wa kati ifikapo 2025, lakini matamanio hayo yanaweza yasifikiwe ikiwa uwekezaji katika masomo ya sayansi hautakuwa…

Jamii Africa

Uhaba wa teknolojia, wafanyakazi wakwamisha upatikanaji wa takwimu sahihi

Imeelezwa kuwa mipango mingi ya serikali inakwama kutokana na kutopatikana kwa takwimu sahihi za maendeleo zinazokusanywa na kuhifadhiwa na taasisi zilizopewa mamlaka kisheria kutoa takwimu za taifa. Takwimu na taarifa…

Jamii Africa

Matabaka ya udongo yanavyoathiri mazao shambani

Udongo ni rasilimali muhimu inayotumiwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo ambacho kinategemewa na watanzania kuendesha uchumi wa taifa. Lakini uharibifu wa mazingira umechangia kushuka kwa thamani ya ardhi na kuathiri…

Jamii Africa

Sheria mita 30 kubomoa jengo la Tanesco Ubungo kupisha ujenzi wa barabara

Wakati bado kukiwa na mjadala wa kubomolewa kwa nyumba za wakazi wa Kimara jijini Dar es Salaam, Rais John Magufuli ameagiza jengo la Shirika la Umeme (TANESCO) lililopo Ubungo kubomolewa…

Jamii Africa

Magugu maji tishio kwa uhai Ziwa Victoria, nchi zinazotumia mto Nile hatarini kukosa maji

Ziwa Victoria ni miongoni mwa rasilimali muhimu zilizopo Tanzania, lina sifa moja ya pekee ambayo ni kina kirefu  cha maji kuliko maziwa yote Afrika. Upekee wake umelifanya ziwa hilo kuwa…

Jamii Africa

Idadi ya wanaume wanaopigwa na wake zao yaongezeka, TAMWA yawataka wajitokeze ili wasaidiwe

Jamii imetakiwa kujenga utamaduni wa kuzungumza na kujadili mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ili kuondokana na mifumo kandamizi ya haki za binadamu na kujenga jamii inayoheshimu usawa, upendo na amani.…

Jamii Africa