Asilimia 80 ya ardhi ya umwagiliaji Tanzania inalimwa kwa njia za kienyeji, kilimo cha kisasa kumkomboa mkulima
Wakulima katika maeneo yanayopata mvua za msimu mara moja kwa mwaka wameshauriwa kuvuna na kuhifadhi maji kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji ili kuwahakikishia usalama wa chakula. Maeneo yanayopata msimu…
Mahitaji ya maji yaongezeka Tanzania, viwanda na ukuaji wa miji vinahatarisha uzalishaji
Sera ya Maji ya mwaka 2002 inabainisha kuwa “Maji ni muhimu kwa viumbe vyote duniani, bila maji hakuna uhai. Aidha maji ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kiwango…
Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania umeimarika, mtandao wa barabara kuipaisha zaidi
Licha ya uchumi wa Tanzania kuimarika na kuchangia kukua kwa pato la ndani la Afrika, Tanzania imetakiwa kuboresha miundombinu ya barabara ili kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta za uzalishaji na…
Elimu ya Awali: Ruzuku ya chakula kuchochea uelewa kwa wanafunzi
Mwaka 2010, Serikali ilitoa agizo kwa shule zote za msingi nchini kuwa na madarasa ya awali ili kuwaandaa watoto kabla ya kujiunga darasa la kwanza. Agizo hilo limetekelezwa na madarasa…
Mageuzi sekta ya usafiri wa anga, utalii kukuza pato la nchi
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika yenye vivutio vingi vya utalii lakini kutokuwepo kwa sekta imara ya usafiri wa anga kumeifanya sekta ya utalii kukosa mapato. Sekta ya Utalii…
Neema ya Korosho yashuka Tunduru, adha ya usafiri kukwamisha mapato ya wakulima
Licha ya msimu mpya wa ununuzi wa zao la Korosho Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kuanza, wakulima walalamikia ubovu wa barabara na uchache wa magari ya kusafirisha korosho kwenda sokoni. Malalamiko…
Vichocheo vya Teknolojia: Njia mbadala kuzuia ukataji miti, matumizi ya mkaa
Daniel Samson Utunzaji wa mazingira ni wajibu wa kila mwananchi ili kuhakikisha shughuli za kibinadamu zinaratibiwa vizuri na kuifanya dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi. Utunzaji wa mazingira ni pamoja…
Umoja wa Ulaya kuimarisha utendaji wa Bandari ya Dar es salaam ili kuwavutia wawekezaji
Umoja wa Ulaya (EU) umesema ili kuimarisha utendaji na ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania inatakiwa kutengeneza mazingira mazuri ya biashara yatakayovutia sekta binafsi kuwekeza nchini.…
Usalama wa watoto mashakani, Ukatili dhidi yao unaongezeka kwa kasi
Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu, na kila mzazi hufurahia kuona watoto wake wanaishi katika mazingira mazuri yanayowawezesha kupata haki za msingi na kuwa raia wema katika kulitumikia taifa na…