Lions Club, Halmashauri ya Morogoro yawatelekeza wanafunzi iliyowaahidi kuwasomesha
- Mkuu wa Chuo akataa kuwapokea mpaka walipe ada - Lions Club Morogoro yasema ilikuwa hisani tu kwa wanafunzi hao Wanafunzi 24 wa Chuo Cha Uuguzi Cha Berega kilichopo Kilosa…
Ukosefu wa mikopo watajwa kuididimiza sekta binafsi nchini
Ukosefu wa mikopo katika taasisi za fedha kumetajwa kama sababu mojawapo ya kuanguka kwa uzalishaji na soko la bidhaa katika sekta binafsi nchini. Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa Taasisi…
Ubakaji unavyotumika kama silaha ya mapambano Somalia
Imebaki changamoto moja katika bara la Afrika nayo ni vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vinatokea katika nchi mbalimbali na kukwamisha ukombozi wa bara hili kuwa huru kiuchumi na kisiasa.…
Lissu amaliza awamu ya pili ya matibabu, kusafirishwa nje ya Kenya
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema afya ya Tundu Lissu imeimarika na ataingia katika awamu ya tatu ya matibabu nje ya Nairobi. Tundu Lissu alipelekwa jijini…
Uboreshaji wa sheria, elimu kwa wananchi kupunguza ajali barabarani
Serikali imetakiwa kuzifanyia marekebisho sheria na kanuni zinazosimamia usalama barabarani ili kuokoa vifo vinavyozuilika na kukuza uchumi wa taifa. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 ni sheria inayoongoza shughuli…
Magufuli: siwezi kukubali mwenge ufutwe
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema mwenge wa uhuru utaendelea kukimbizwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ili kuchochea shughuli za maendeleo. Rais ametoa kauli hiyo leo…
Dondoo muhimu ili kupata usingizi wa uhakika
Kufanya kazi ni sehemu ya maisha ya binadamu yeyote. Mtu asipofanya kazi huugua kwasababu mwili unashindwa kujiendesha na kuzalisha seli mpya ambazo zinatakiwa zitumike. Kwa kila anayefanya kazi huchoka na…
Sheikh Ponda ajisalimisha polisi kujibu tuhuma za uchochezi
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda amejisalimisha mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano juu ya kauli alizotoa hivi karibuni. Hatua hiyo…
Ugomvi wa Kiir na Machar unavyoisambaratisha Sudan Kusini
Sudan Kusini ni nchi changa iliyojipatia uhuru wake miaka michache iliyopita na kuwa taifa huru lenye mamlaka kamili ya kisiasa na kiuchumi. Nchi hiyo ilitangaza uhuru wake tarehe 9 Julai 2011…