Kombe la CHAN: Taifa Stars ni kufa au kupona Kigali, Uganda ngoma bado mbichi

TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars, inatakiwa kucheza kufa au kupona katika mechi dhidi ya Rwanda Jumamosi, Julai 22, 2017, na ushindi tu ndio utakaoivusha katika hatua ya pili…

Daniel Mbega

Waziri Jaffo awaambia akinamama: Atakayekwamisha jitihada za kupambana na mazingira, njooni mnione

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jaffo, amesema serikali iko bega kwa bega na akinamama wanaojihusisha na miradi ya kupambana na uharibifu wa mazingira…

Jamii Africa

Miundombinu: Barabara za 689.9km zilizogharimu Shs. 781 bilioni zazinduliwa, Wachina waiunganisha Kigoma kwa lami

BARABARA za lami zenye urefu wa kilometa 689.9 ambazo zimegharimu jumla ya Shs. 781.132 bilioni zinafunguliwa na kuzinduliwa na Rais Dkt. John Magufuli kuanzia Julai 19, 2017 huku Mkoa wa…

Jamii Africa

Kombe la CHAN: Taifa Stars yajiweka katika mazingira magumu dhidi ya Rwanda, yalazimishwa sare ya 1-1

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imejiweka katika mazingira magumu ya kufuzu kwa fainali za Mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa klabu za ndani (CHAN) baada…

Daniel Mbega

Watu 48,700 wafa katika ajali, wengine 282,000 wajeruhiwa

JUMLA ya watu 48,695 wamekufa na wengine 282,194 kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani zilizotokea nchini Tanzania katika kipindi cha kuanzia mwaka 2000 hadi 2015.

Jamii Africa

Taifa Stars na Rwanda, Mwanza patakuwa hapatoshi wikiendi hii

IKIWA imetoka kulamba Dola za Marekani 10,000 kwa kushinda nafasi ya tatu katika Mashindano ya Kombe la Castle la Baraza la Soka kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (Cosafa), Taifa…

Daniel Mbega

Gari la zimamoto lakwamisha Bombardier kutua Mpanda

UKOSEFU wa gari la zimamoto umekwamisha kuanzishwa kwa safari za ndege za Bombardier za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) mjini Mpanda katika Mkoa wa Katavi kama ilivyopangwa hapo awali.

Jamii Africa

Matumizi endelevu ya ardhi yataepusha jangwa na ukame Tanzania

TANZANIA ni miongoni mwa nchi 193 zilizosaini mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na kuenea hali ya jangwa duniani (UNCCD) wenye lengo la kupambana na tatizo la uharibifu wa ardhi katika…

Jamii Africa

Taifa Stars imefanya vizuri Cosafa, lakini si wakati wa kubweteka

TIMU ya Taifa, Taifa Stars, jana usiku Ijumaa, Julai 7, 2017 ilifanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Kombe la Castle yanayoandaliwa na Baraza la Soka kwa Nchi za…

Daniel Mbega