Ucheleweshaji wa miradi ya maji unavyowagharimu wananchi vijijini

Baadhi ya wananchi wa vijijini nchini huenda wakasubiri kwa muda kupata maji ya uhakika baada ya Serikali kushindwa kufanikisha ujenzi wa zaidi ya nusu ya vituo vya huduma hiyo muhimu…

Jamii Africa

Mtwara: Wanafunzi Mtiniko Sekondari wafeli kabla ya mtihani. Miaka 10 hawana walimu wa Hisabati na Fizikia

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Mtiniko, Halmashauri ya Mji wa Nanyamba mkoani Mtwara huanza kufanya mitihani wakiwa tayari wamefeli masomo mawili kati ya saba yanayohitajika. Kimsingi, wanafunzi hao huingia katika…

Jamii Africa

Morogoro: Huduma za afya zapatikana chini ya mti

WAKAZI wa Kata ya Mindu katika Manispaa ya Morogoro wanapata huduma za afya chini ya mti kutokana na ukosefu wa jengo la zahanati na kituo cha afya. FikraPevu imeshuhudia akinamama…

Jamii Africa

Lindi: Mpango wa usafi wa mazingira washindwa kutekelezwa

MNAMO Agosti 8, 2016 viwanja vya maonesho Sikukuu ya Wakulima- maarufu; Nane Nane katika eneo la Ngongo, mjini Lindi vilikuwa vimependeza kutokana na kuwepo kwa mabanda yaliyosheheni bidhaa mbalimbali za…

Jamii Africa

‘Teni pasenti’ kuwaponza watumishi wa Tanroads Kilimanjaro

ASILIMIA 10 ya malipo ya rushwa na upendeleo, huenda “ikawatokea puani” watumishi wawili wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), mkoani Kilimanjaro. Inadaiwa kuwa watumishi hao wamekuwa maarufu kwa kupokea asilimia…

Jamii Africa

Lindi yaazimia mabadiliko ya ufaulu wanafunzi kwenye mitihani ya kitaifa

SERIKALI ya Mkoa wa Lindi ikishirikiana na wadau mbali mbali wa elimu ndani na nje ya mkoa, imeazimia kufanya mabadiliko makubwa kwenye ufaulu wa wanafunzi hasa wale wa kidato cha…

Jamii Africa

Bukoba: Wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi wagoma kurejea nyumbani

WANAFUNZI wenye ulemavu wa ngozi wanaohitimu darasa la saba katika Shule ya Msingi Mugeza Mseto ya Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, wamegeuza sehemu hiyo makazi yao ya kudumu kwa kuhofia…

Jamii Africa

Jitihada zaidi zinahitajika kukomesha vifo vinavyotokana na uzazi Tanzania

MIAKA 27 iliyopita Tanzania ilikuwa inashika nafasi ya 18 barani Afrika katika orodha ya nchi 20 zilizokuwa zikiongoza kwa idadi kubwa ya vifo vitokanavyo na uzazi. Lakini hivi sasa FikraPevu inaandika bila…

Jamii Africa

Kagera waanza kuchangamkia kilimo cha alizeti, waitelekeza kahawa

BAADA ya bei ya kahawa kudorora katika soko la dunia na bei yake kutokuwa na uhakika Tanzania, kwa zaidi ya muongo mmoja sasa, wakulima wengi wa  Mkoa wa Kagera wameanza…

Jamii Africa