Iringa: Wakulima wa nyanya waanza kuzalisha mvinyo kukabiliana soko
WAKULIMA wa nyanya katika Kijiji cha Tanangozi wilayani Iringa, wameanza kuliongezea thamani zao hilo kwa kuzalisha mvinyo (wine) kama hatua ya kukabiliana na changamoto kubwa ya masoko inayowakosesha tija. Akizungumza…
Tumbaku: Zao lenye neema ya utajiri, lakini linaua kila baada ya sekunde sita
LICHA ya kutajwa kuwa mkombozi wa kiuchumi, lakini zao la tumbaku bado limeendelea kuwa hatari duniani kutokana na kusababisha vifo milioni 6. Wanaopoteza maisha kutokana na mazao ya tumbaku, ni…
Gesi kutomaliza matumizi ya mkaa Tanzania
KASI ya kukatwa kwa misitu kwa ajili ya kupata mkaa na kuni, huenda isipungue kama “inavyohubiriwa.” Imebainika kuwa hata kupatikana kwa kwa gesi asilia kwa matumizi mbalimbali, yakiwemo ya nyumbani, hakutakomesha matumizi…
Muleba: Kukwama kwa ujenzi wa zahanati kwasababisha vifo
KUSHINDWA kukamilika kwa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kasindaga, Kata ya Kyebitembe, Wilaya ya Muleba, Kagera kunasababisha matatizo makubwa ya afya na vifo. Hiyo inatokana na kukosekana kwa huduma…
Biharamulo: Wananchi wajiandaa kuandamana kwa Mkuu wa Wilaya kudai shule yao
BAADHI ya wananchi wa Kitongoji na Kijiji cha Busiri, Kata ya Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera, wametishia kuandamana hadi Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, kudai ujenzi wa shule baada ya uongozi…
Elimu bure ‘yawahenyesha’ walimu Tarime, wakwama kufundisha
SHULE za msingi wilayani Tarime, zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu, kiasi cha wanafunzi kushindwa kufundishwa vipindi vyote. Uhaba huo umejitokeza, huku kundi kubwa la wahitimu wa ualimu nchini, likiwa…
Tarime: Utoro waathiri shule za msingi. Walimu, wanafunzi ‘washindana’ kuokota mawe ya dhahabu mgodini
UTORO limekuwa tatizo sugu na linaloonekana kudumu katika shule za msingi zilizopo Nyamongo, wilayani Tarime mkoani Mara. Kati ya wanafunzi 3,465 walioandikishwa darasa la kwanza 2016, ni 2,991 ndio wameweza…
Kilimo cha viazi lishe kukabiliana na baa la njaa wilayani Ukerewe
WANANCHI wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza wamejikita katika kilimo cha viazi lishe (viazi vitamu vya njano) kama njia ya kuongeza uhakika wa chakula. Wakizungumza na FikraPevu kwa njia ya…
Miwa ya Mkulazi kuiondoa Tanzania kwenye kundi la nchi zinazoagiza sukari nje
UAGIZAJI wa sukari nje ya nchi unaweza kuwa historia mara baada ya kuanza kwa mradi mkubwa wa kilimo cha miwa katika eneo la ukubwa hekta 40,000 kwenye Kijiji cha Mkulazi,…