Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kati kuleta mapinduzi kwenye sekta ya usafiri Tanzania
KILIO cha miaka mingi cha tatizo la usafiri wa Reli ya Kati kinaonekana kinakaribia kwisha, baada ya serikali za Tanzania na China kufikia makubaliano ya ujenzi wa reli hiyo. Taarifa…
Kwanini wanawake huishi umri mrefu kuliko wanaume?
SEHEMU mbalimbali duniani wanawake wanatarajiwa kuishi umri mkubwa ikilinganishwa na wanaume. Kimsingi, watu wengi wana bibi zao kuliko babu zao. Kwanini iko hivi na ni nini husababisha? Kulingana na utafiti…
Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania – ExxonMobil
FikraPevu inaendelea kuzichambua kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi nchini Tanzania ambapo safari hii tunaiangalia kampuni ya ExxonMobil kutoka Marekani. ExxonMobil (Marekani) • Aina: Kampuni ya Umma • Imeandikishwa: Soko…
Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania – AFREN
HATUWEZI kuzungumzia maendeleo ya sekta ya mafuta na gesi nchini Tanzania bila kwanza kuzifahamu kampuni zilizowekeza humo. Hawa ndio wadau muhimu Zaidi kwa sababu, kama tulivyoona, hata ugunduzi wa awali…
Ubinafsi unamaliza maliasili Tanzania
MACHI 23, 2016 vyombo vya ulinzi na usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) vilifanikiwa kuwanasa wafanyabiashara wawili ndugu, raia wa Uholanzi wakiwa katika harakati ya kusafirisha…
Zifahamu sababu na tiba ya muwasho Sehemu za siri
Kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani kujumuisha maradhi ya uke kwa wanawake au muwasho na kuvimba kwa sehemu za siri za wanaume (jock itch). Bila kujali…
Huku Kingunge akiwa uso kwa uso na Kinana, Kikwete apangua ratiba vikao vya Kamati ya Maadili, Kamati Kuu
WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, akipangua ratiba ya vikao muhimu vya Kamati ya Usalama na Maadili pamoja na Kamati Kuu vilivyotarajiwa kufavyika jana na leo,…
Kifahamu Kilimo cha Alizeti na Faida yake Kiuchumi kwa Mkulima na Taifa
Alizeti ni mojawapo ya mazao muhimu ya biashara yanayochangia kukuza uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla. Asili yake, ingawa kwa sasa zao hili limeenea sehemu nyingi duniani, ni nchini…
Asilimia 15 ya Watanzania wanapata nishati ya umeme
ASILIMIA 15 ya Watanzania ndio wanaopata nishati ya umeme, kiwango ambacho hakitoshelezi na hakiendani na kasi ya maendeleo inayotarajiwa, FikraPevu imebaini. Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya Dunia za mwaka…