Ukosefu wa zana bora wakwamisha maendeleo Nyasa
UMASKINI ni kitendo kinachopigwa vita na Mataifa mengi Duniani ikiwa ni pamoja na nchi zinazoendelea. Umoja wa Mataifa katika mikakati ya kupunguza umaskini na kukuza uchumi tangu mwaka 1953…
Chanzo cha mauaji ya watuhumiwa Mbeya chaelezwa
Dhana ya kuwa watuhumiwa wakikamatwa na kufikishwa katika vituo vya polisi wanaachiwa imechangia kukithiri kwa matukio ya Wananchi kujichukulia sheria mikononi kwa kuwaua kwa vipigo au kuwachoma moto watu wanaotuhumiwa…
Wakazi Ziwa Nyasa kulipa gharama za uchafuzi wa mazingira
UCHAFUZI wa mazingira ni jambo linalostahili kupigwa vita katika kujiletea maendeleo. Kupigwa vita huko kunatokana na athari zinazokuja kujitokeza baada ya uchafuzi kufanyika. Nyingi ya athari zinaweza kuhatarisha usalama wa…
Unapenda kahawa? Laani mabadiliko ya tabia nchi
MALENGO ya kuzalisha kahawa nchini kufikia tani 80,000 kwa mwaka ifikapo mwaka 2016 huenda yasifikiwe kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, iliweka…
Machozi ya wavuvi Ziwa Nyasa yaenda na maji
SIMON Lwena anaonekana akikunjua nyavu zake zilizowekwa viraka na kuzipanga vizuri kwenye mtumbwi. Ni asubuhi na upepo katika Pwani ya Mbamba-Bay umetulia, hivyo wavuvi wengi, kama alivyo Lwena, wanaendelea na…
Maji yageuka anasa kwa wakazi Songea
KWA Raphael Millanzi, mkazi wa Manispaa ya Songea, maji yamekuwa anasa kutokana na kutopatikana kwa uhakika katika maeneo anayoishi na yale ya jirani. Millanzi anasema, kitendo cha kufuata maji umbali…
Vijana wataka wepesi wa kushika hela, kilimo ‘kinazingua’
KIJIJI cha Mkongoro kama ilivyo katika vijiji vingine Wilayani Kigoma wakazi wake ni wakulima, ambao kilimo chao ni mazao ya chakula na biashara yakiwemo Kahawa, Nanasi na Migomba. Kijiji hiki…
‘Zaeni mkaijaze Dunia’ yakwamisha uzazi wa mpango Kigoma
BAADHI ya wanawake waliohojiwa mkoani Kigoma wamelalamikia waume zao kuwa kikwazo kwao kujiunga na uzazi wa mpango kwa kuwa wao wanawachukulia kama chombo cha kuongeza familia kwa kuzaa watoto wengi…
Mji wa Dodoma wakabiliwa na Wimbi la Makahaba nyakati za Mikutano Mikubwa Kitaifa
Biashara ya wanawake wanaouza miili yao inazidi kushika kasi katika mji wa Dodoma, hali ikijitokeza sana hasa wakati wa mikutano mikubwa ya kitaifa, ikiwemo Bunge na mingine ya vyama vya…