Tanzania: Our Local Media outlets have killed ‘Operation Tokomeza’!

One of the local Swahili  dailies, Tanzania Daima, last week carried a very ‘interesting’ story  which formed its front page lead story. It said President Jakaya Kikwete was reluctant to…

Mlonga Hilo

Why Dar should be cautious of the Coalition of Willing (CoW) members

Last week the so called Coalition of the Willing (CoW) surreptitiously forged by Kenya, Uganda and Rwanda, was swept under the carpet and the three members accepted, grudgingly, Tanzania and…

Mlonga Hilo

Vidonda vya Tumbo: Ni nini na husababishwa na nini haswa?

Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni mfumo katika mwili unaohusika na umeng'enyaji wa chakula mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili. Sehemu kuu zinazohusika katika umeng'enyaji huo ni kinywa,…

Dr. Joachim Mabula

Tuimarishe sheria na sera zetu, tukusanye kodi!

Hivi karibuni tunashuhudia duniani nchi mbalimbali zikihaha kuhakikisha suala la kodi linakuwa la kipaumbele. Kuhakikisha nchi zinapata kodi stahiki toka kwa vyanzo vyote hususan vile vya ndani. Suala hili kwa…

Michael Dalali

Kilimo si kwanza: Mipango sawa, vitendo hakuna!

Ukizunguka vijijini ambako ndiko hasa kilimo kinaendeshwa, unaweza kustaajabu na kujiuliza endapo bado upo katika nchi ile ile yenye mipango na mikakati mingi yenye kuvutia na kauli mbinu za kila…

Michael Dalali

CHADEMA yatoa tamko kuhusu vijana wanaopewa mafunzo ya ‘Janjaweed’ Mbeya

CHAMA cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetoa tamko kuhusu mikakati ya Chama cha mapinduzi (CCM) kutoa mafunzo ya kijeshi ya 'Janjaweed' kwa vijana zaidi ya 200 katika makambi ya Shule…

Thompson Mpanji

Wakazi Nyasa hatarini kuathirika na sumu

JANGA la kutisha linaweza kuwakumba wakazi wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambao kwa wiki nzima sasa wanakula samaki ambao huenda  wamekufa kwa sumu. Utafiti wa awali unaonyesha kuwa takribani…

Albano Midelo

Mapacha watano wafariki dunia, wameishi kwa masaa kumi tu!

WATOTO wote watano waliozaliwa juzi katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma wamefariki usiku wa kuamkia jana. Watoto hao wote watano walizaliwa salama na Sophia Mgaya (28) mkazi wa Ruhuwiko mjini…

Albano Midelo

‘UBESHI’: Safari ya Vijana Kuifikia Almasi Mwadui-Shinyanga

MAJUZI nilikuwa katika utafiti wa namna gani Madini ya Almas yanayopatikana katika Mji Mdogo wa Maganzo Wilayani Kishapu mkoani Shinyanga umewanufaisha wananchi wanaozunguka Mgodi wa Almasi wa Mwadui.

David Azaria