BAUXITE NI NINI NA MATUMIZI YAKE
Bauxite ni mchanganyiko wa madini ya chuma na aluminium,ambayo ina rangi tofauti,unaweza kuwa njano,nyekundu,nyeupe,blue na hata kahawia. Bauxite pia inapatikana zaidi katika ukanda wa kitropic Bwana mazingira Richard Lukwaro anasema…
Tears of rape victims
Two women are battling emotional pain after a forceful carnal knowledge by mine security officers. Nassarian Matayo (25) a disabled woman and Neema Mollel (19) both of Kigwasi sub-village in…
Wizara ya Afya isipochukua hatua za haraka, itakuwa ni ndoto kuzuia vifo vinavyotokana na uzazi
Kilio cha upungufu wa vifaa tiba,wataalamu hawatoshi na miundo mbinu ya hospitali,kituo cha afya na zahanati kuwa mibovu ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa vifo vya mama na mtoto…
Karibu Utete tuvuke na MV UTETE
MV Utete ni kivuko kinachopatikana katika wilaya ya Rufiji mkoani pwani na kinafanya kazi zake Mto rufiji, ambapo wakazi wa utete hutumia kivuko hicho kwenda ng’ambo ya pili sehemu zenye…
Should our Presidents images reserve the sanctity they deserve?
It is half past three under the scorching sun in the afternoon and everyone feels quite exhausted. Our stomachs are crying for something to eat as we nervously look around…
Mwanga wa tochi na chemli watumika kuzalisha wajawazito Rufiji
Mganga mkuu wa Zahanati ya Ndundunyikanza Dollo Victor, anasema kukosekana kwa umeme katika zahanati hiyo kunamfanya afanye kazi katika mazingira magumu, hasa kwa wajawazito wanaofika hapo kwa ajili ya kujifungua.
Lack of Laboratory at Dakawa dispensary force pregnant women to do test at private health center
DAKAWA dispensary in Mvomero district, Morogoro lacks laboratory which force pregnant women to do testing at the private centers. A seven month pregnant woman, Ms Leah Yohana (27) said that…
Mto Kiwila wasababisha majonzi Kyela
Wananchi wa vijiji vya Lema, Busoka na masoko vilivyopo kata ya Busale wilaya ya Kyela, wamelalamikia kukosekana kwa daraja la kuwawezesha kuvuka toka ng’ambo ya kijiji kimoja na kingine, kutokana…
Bugarama Village Pregnant Women deliver without knowing their HIV status
THE loss of the HIV testing kit at the Bugarama dispensary, Kahama district in Shinyanga has made pregnant women to deliver without knowing whether they are infected or not.