Wauguzi waingia mitini baada ya mbio za mwenge Mbeya
ZAHANATI ya Kijiji cha Mponwa,Kata ya Totowe,Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya iliyofunguliwa katika mbio za Mwenge wa uhuru na kiongozi wa mbio za Mwenge Capt; Honest Mwanossa.
Bwawa la Zumbi limeifanya Nyaminywiri kuwa ‘Selou’ ndogo
Kijiji cha Nyaminywiri kinapatikana katika kata ya kipugira wilayani Rufiji katika mkoa wa Pwani, ni umbali wa kilomita 30 kutoka hifadhi za mbuga za wanyama za Selou ni mwendo wa…
‘Mwalo’ wa dhahabu Londoni
Ni saa 3:00 asubuhi, natoka kwenye nyumba ya kulala wageni iitwayo ‘Kwa Aziz’ kusubiri usafiri wa kunipeleka kwenye mgodi wa wachimbaji wadogo, ulioko Sambaru, umbali wa kilometa 15. Sambaru iko…
Wajawazito Mbeya wasukumana kwa wakunga wa jadi kujifungua
KATIKA vijiji vya Totowe na Mbuyuni hakuna serikali. Ni utawala binafsi. Huku ni katika wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Kwani Sera ya Afya ya mwaka 2007 inasema wajawazito kote nchini…
Usafiri wa Mtumbwi tatizo kwa wajawazito Rufiji
“Nilijifungua kando ya mto Rufiji kutokana na mtumbwi kuwa ng’ambo ya pili” anaeleza Sina Mlimile 22 mkazi wa kijiji cha Nyaminywiri kata ya kipugira wilayani Rufiji.
SIKU YA UKOMA DUNIANI 2013: Tujikabidhi kwa Mungu
"Jikabidhi kabisa kwa Mungu, atakutumia kutimiza mambo makuu kwa hali ambayo utaamini zaidi kwamba ni Upendo wake dhidi ya Udhaifu wako." - Mama Theresa
Baada ya vurugu kubwa Dumila, hali bado tete wilayani Kilosa…
Hali bado ni tete katika baadhi ya vijiji wilayani Kilosa, Morogoro baada ya kutokea kwa vurugu kubwa kati ya wakulima na wafugaji wa eneo la Dumila wilayani humo.
Hali ya Manumba bado tete! Sasa akimbizwa Afrika Kusini…
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai, DCI, Robert Manumba, ameondoka jioni hii kuelekea Afrika Kusini, kwa matibabu zaidi baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo. Habari za uhakika zilizoifikia FikraPevu zimeeleza…
Wajawazito Tanzania wakimbilia kujifungulia Malawi
SERA ya Afya ya mwaka 2007 haifahamiki wilayani Ileje katika mkoa wa Mbeya. Ni katika sera hii ambamo inatamkwa kwamba wajawazito nchini watapewa huduma za afya bure. Kama sera inafahamika,…