Sitta atangaza nia kuwania urais ‘akiombwa’
Huu ni wakati wa Watanzania kutafakari nani anafaa kuwa Rais wao. Lakini kwangu mimi, Watanzania wenyewe watapima na kuona jinsi ninavyoendesha mambo yangu kwa uwazi zaidi katika kuwatumikia. Nimekuwa mteule…
Lowassa ajitahidi kumuuza Siyoi; CHADEMA Wambeza; Msafara wake wazomewa Arumeru
Aliyekuwa Waziri Mkuu Bw. Edward Lowassa leo amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kuzomewa na mamia ya wananchi wa Arumeru wakati akitoka kuhutubia mkutano wa kampeni kumnadi Bw.…
Zitto, Ngeleja ‘kupimana vifua’ udiwani Mwanza
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe Jumamosi Machi 31, 2012 wanatarajiwa kukabana 'koo' katika mikutano yao…
Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012. Fuatili kupata orodha kamili
Majambazi yaua polisi,yapora SMG mgodini Barrick Gold
WATU wanaosadikiwa kuwa majambazi wenye silaha wamemuua polisi aliyekuwa akilinda mgodi wa dhahabu wa Tulawaka unaomilikiwa na Kampuni ya Barrick wilayani Biharamulo Mkoani Kagera na kutoweka na bunduki aina ya…
Watu wa Marekani watoa vifaa kwa Polisi Tanzania
SERIKALI ya Marekani kupitia Ofisa wake wa Ubalozi Nchini Tanzania anayeshughulikia masuala ya Usalama Bw. Jeremy Yamin imekabidhi Jeshi la Polisi Tanzania msaada wa vitendea kazi vyenye thamani ya zaidi…
HUJUMA kwa Siyoi Arumeru…. Hujuma kwa Chama chetu
Werevu hawasubiri mavuno ndipo wafanye tathimini, wapumbavu husubiri hadi nukta ya mwisho ya tone la mvua ndipo huamka kwamba mwaka huu ni wa njaa na kukurupuka kuomba msaada. Kuna Uzi…
Chadema wasiposhinda Arumeru viongozi wajiuzulu
Rekodi ya uongozi wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linapokuja suala la uchaguzi mdogo ni rekodi mbaya na ambayo ingetosha kabisa kusababisha uongozi huo kujiuzulu mapema zaidi.…
Ufisadi waponza walimu kukosa malipo ya 283m/-
WALIMU zaidi ya 200 wa shule za msingi na sekondari mkoani Mbeya wanalalamikia vitendo vya ufisadi unaofanywa na watendaji serikalini na kusababissha kukosa fedha zao za mapunjo kiasi cha Sh…