Sumaye, Lowassa, Ridhiwani na Warioba uso kwa uso Bunda
WAZIRI wa Uhusiano na Uratibu katika ofisi ya Rais, na Mbunge wa Bunda Stephen Wassira atakua mgeni rasmi katika harambee itakayohudhuriwa pia na wanasiasa kadhaa nchini. Baadhi ya wanasiasa walioalikwa…
Ngeleja aibomoa kambi ya CHADEMA, Wenyeviti, Makatibu watimkia CCM
* Mwenyekiti na katibu wa Wilaya ya Sengerema watimkia CCM * Wamo Katibu wa Baraza la Wanawake na Mwenyekiti wa BAVICHA (Wilaya) * Aliyekuwa mgombea Ubunge wa CUF jimbo hilo…
Ngeleja awakejeri wanaobeza Katiba Mpya!
SERIKALI imewaonya viongozi wa vyama vya siasa kuacha mara moja kuwapotosha Watanzania kuhusu suala zima la Katiba mpya, na kusema wanaozunguka nchi nzima na kupotosha Umma juu ya Katiba huenda…
Kashfa Mpya: Mganga Mkuu ashindwa kuagiza kuondolewa vipimo vibovu vya VVU nchini!
Mganga Mkuu wa Tanzania (Chief Medical Officer) Dr. Deo Mutasiwa (pichani) amedaiwa na wadau mbalimbali wa masuala ya afya nchini kwa kushindwa kutoa maagizo ya kuondolewa kwa vifaa vya kupimia virusi…
Mwanza: Gari la wagonjwa lawekwa juu ya mawe!
NAIBU Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, Charles Kitwanga ameeleza kukerwa na uongozi wa hospitali na halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, kwa kushindwa kununua tairi za gari la…
Misungwi ‘wampuuza’ Waziri Magufuli!
HALMASHAURI ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, imemtunishia 'misuri' Waziri wa Ujenzi, John Pombe Magufuli, baada ya uongozi huo kupuuza na kukataa kutekeleza agizo lililotolewa na Waziri huyo, juu ya…
Musoma wagoma kuuza mafuta, vituo vyafungwa, lita moja yauzwa sh. 10,000/-
MJI wa Musoma mkoani Mara, umekumbwa na ukosefu wa nishati ya mafuta, hasa aina ya Petroli na mafuta ya taa, na kwamba hali hiyo imelazimika kufungwa kwa vituo kutokana na…
Wafungwa wamuonya Rais Kikwete kuhusu posho za wabunge
WAFUNGWA wa Gereza Kuu la Musoma mkoani Mara, wamemtaka Rais Jakaya Kikwete na Bunge la Jamhuri kutoidhinisha posho mpya ya sh. 200,000 za wabunge, badala yake fedha hizo ziongezwe kwenye…
Mfamasia wa wilaya ya Magu mbaroni kwa wizi wa dawa
MFAMASIA wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani hapa, Kanuti Kimaro ametiwa mbaroni akituhumiwa kutokuwa mwaminifu kwa mwajiri wake na kisha kuuza mgawo wa dawa za binadamu pamoja na vitendanishi…