Tanzania yaondolewa 10 bora vivutia vya uwekezaji Afrika

Inaelezwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza isifikie lengo lake la kujenga uchumi wa viwanda kutokana na mabadiliko ya sera za usimamizi wa fedha na rasilimali ambazo sio rafiki kwa wawekezaji.…

Jamii Africa

Is Magufuli the right man, or wait one after?

A good number of my fellow citizens are struggling to keep their head above water as tough financial times continue. These people are complaining for life hardships. They complained during…

Jamii Africa

Sera ya kujilinda kibiashara yaigonganisha Marekani, China. Nchi za Afrika zahofia anguko la kiuchumi

Siku chache zilizopita Marekani imekuwa ikitangaza hatua kadhaa za kulinda soko lake kwa kubadilisha utaratibu uliofuatwa na serikali zilizopita na kuamua kutoza ushuru kwa baadhi ya bidhaa zinazoingia Marekani. Kwa…

Fadhili Mpunji

Kilimo, uvuvi vyahatarisha uhai bwawa la nyumba ya Mungu

Bwawa la Nyumba ya Mungu ni chanzo kikubwa cha maji yanayotumika kwa shughuli mbalimbali za kibinadamu, kilimo cha umwagiliaji,  mifugo na uzalishaji wa umeme, lakini shughuli hizo zinaweza kuhatarisha uzalishaji…

Jamii Africa

Anguko la elimu lawatesa viongozi wilayani Tunduru. Wahaha kuanzisha midahalo na makongamano kuwanusuru wanafunzi

Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Juma Homera ameitaka Idara ya elimu ya msingi na sekondari kuandaa mitihani kila baada ya miezi mitatu ili kukabiliana na anguko la elimu Wilayani humo.…

Jamii Africa

CAG aanika ufisadi serikali za mitaa. Vyama vya siasa vyaitia doa serikali kuu

Kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuzipatia hati chafu Halmashauri za Wilaya za Kigoma Ujiji na Pangani, rais John Magufuli amewasimamisha kazi wakurugenzi wa…

Jamii Africa

NGORONGORO: The Eden of our time

Many residents and tourists from outside Tanzania who get the chance to visit Ngorongoro Conservation area and particularly the Crater, believe the place is like Eden, the garden mentioned in…

Jamii Africa

Kesi 457 dhidi ya JamiiForums: Upande wa Jamhuri wafunga ushahidi, Mahakama kutoa uamuzi Mei 3 mwaka huu

Hatimaye upande wa Jamhuri katika kesi inayoikabili JamiiForums imekamilisha kutoa ushahidi wake na kuipa nafasi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuamua kama kuna kesi ya kujibu au la. Katika  kesi…

Jamii Africa

Wananchi Mpwapwa, Kondoa  wanyimwa fursa kutoa malalamiko katika vituo vya afya

Mifumo ya utoaji malalamiko katika vituo vya afya ni moja ya vitu muhimu katika kuboresha utoaji huduma za afya nchini. Kukosekana au kutokufanya kazi kwa mifumo hii kunapunguza fursa ya…

Jamii Africa