Ukimya wa wanazuoni pale demokrasia inapokanyagwa hautaiacha nchi salama
Wajibu wa wasomi au wanazuoni katika jamii ni mada muhimu na pana sana. Hakuna mtu yoyote anayeweza kukataa mchango muhimu wa wasomi katika jamii yoyote na hasa katika kipindi hiki…
Ni umri upi sahihi wa kumruhusu mtoto kutumia simu?
Moja ya suala ambalo limeleta changamoto katika malezi ni ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano hasa matumizi ya simu za kisasa/janja (smart kisasa). Mjadala uliopo katika jamii ni umri gani ambao…
Ifahamu ndoto inayowatenganisha na kuwaunganisha watanzania
Ninayo ndoto. Inaweza ndoto hii isitimie katika uhai wetu, lakini inaweza kutimia kwa vizazi vijavyo. Ninayo ndoto kuwa ipo siku moja Watanzania tutaweka tofauti zetu pembeni, na kuweka mbele maslahi…
UCHUMI WA VIWANDA: Dhana, maana na uzoefu wa wasomi wetu
Imeelezwa kuwa ukosekana kwa sera, mipango na mikakati inayotafsiri dhana ya uchumi wa viwanda kunaweza kuikwamisha Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025. Ikumbukwe kuwa serikali inayoongozwa na Rais John…
Ongezeko la mvua kuwanufaisha wakulima Pwani
Kulingana na Benki ya Dunia (WB) katika ripoti yake ya Mapitio ya Uchumi ya mwaka 2017, inaitaja Tanzania kutumia asilimia 80 ya maji yake yote katika shughuli za kilimo. Matumizi…
Wanasiasa, wanaharakati watofautiana ukuaji wa soko la tumbaku Tanzania
Kukosekana kwa utashi wa kisiasa na ukuaji wa soko la tumbaku kumetajwa kama kichocheo cha ongezeko la matumizi ya sigara na vifo kwa vijana nchini. Uvutaji wa sigara katika nchi…
Shinikizo la macho lawatesa watanzania, idadi ya watu wenye upofu nayo yaongezeka
Tafiti zinaonyesha Waafrika ni waathirika zaidi wa Ugonjwa wa Shinikizo la Macho (Glaucoma) kuliko watu wengine duniani. Huku watu wenye miaka kuanzia 40 huathirika zaidi na kuwaletea upofu. Aidha Serikali…
Dar kinara utumikishaji watoto, wafanyakazi wa ndani
Je, kuwatoa watoto wa kike vijijini kwenda mjini kufanya kazi, kunachangia kuwepo usafirishaji haramu wa binadamu nchini? Watoto wangapi Tanzania ni wahanga wa usafirishaji haramu wa binadamu? Mwandishi Rebecca Grant…
‘Hapa Kazi Tu’ ya TRA yamkera Magufuli, aagiza wapitie upya kodi wanazotoza wananchi
Rais John Magufuli ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia upya mfumo wa utozaji kodi ili kuwawezesha watu kulipa kodi inayoendana na mapato halisi ya biashara zao. Rais Magufuli ametoa…