Bajeti yakwamisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kondoa
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kutenga fedha kwenye bajeti ya Mwaka ujao wa Fedha 2018/2019 kwa ajili…
Mauaji ya Watetezi wa mazingira kikwazo kingine kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
Na Daniel Samson Shirika la Global Witness limeeleza kuwa watu 197 waliuawa mwaka uliopita kwa kutetea matumizi mazuri ya ardhi, wanyama pori na rasilimali asilia. Shirika la Global Witness likishirikiana…
Mpango wa “Ukanda mmoja, Njia moja” kuimarisha diplomasia ya China katika nchi za Afrika.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amekutana na waandishi wa habari mjini Beijing kuelezea utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ya China katika mwaka uliopita na mipango…
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI : Wadau watoa mwelekeo mpya kuimarisha usawa wa kijinsia
Machi 8 kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Wanamke ambayo hutoa nafasi ya kutathmini changamoto na mafanikio yaliyofikiwa katika kutambua haki za wanawake na mchango walionao katika maendeleo ya…
Asilimia 74 ya watoto nchini Tanzania wanaishi kwenye umasikini, hawapati haki za msingi
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeeleza kuwa asilimia 74 ya watoto nchini Tanzania wanaishi katika umasikini, jambo linalowafanya kukosa haki na mahitaji muhimu ya kijamii kustawisha maisha yao. Kwa…
Bunge la China lakutana kujadili utendaji wa serikali, mageuzi ya katiba
Mikutano miwili mikubwa ya mwaka, yaani Baraza la mashauriano ya Kisiasa, na bunge la umma la China, inafanyika. Hii ni mIkutano ya uwakilishi wa wananchi, ambayo wajumbe wake wanawakilisha maoni…
MGOGORO WA MAJI: Jiji la Dar es Salaam kufuata nyayo za Cape Town
Jiji la Cape Town nchini Afrika Kusini litazima mitambo inayopeleka maji kwa watumiaji ifikapo Aprili 29, 2018 na kuweka historia ya jiji hilo kukosa huduma hiyo muhimu, ambapo kuzimwa kwa…
Ukweli kuhusu minara ya simu kusababisha kansa kwa binadamu
Daniel Samson Ukuaji wa sekta ya mawasiliano unaochochewa na ongezeko la idadi ya watu wanaotumia simu za mkononi umeibua mjadala juu ya usalama wa afya za watumiaji wa teknolojia hiyo…
Wasomi waibua mjadala elimu kusimamiwa na sekta zaidi ya moja
Sekta ya elimu kwa muda mrefu imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali za ubora wa elimu inayotolewa kwa wanafunzi ambapo sababu mbalimbali zimekuwa zikihusishwa na kushuka kwa ubora wa elimu nchini.…