Wasichana milioni 68 hatarini kukeketwa ifikapo 2030 duniani
Ulimwenguni kote inakadiriwa kuwa wanawake na wasichana milioni 200 wamekeketwa na kuwaachia madhara ya kisaikolojia, kiafya na kijamii. Kwa mujibu wa shirika la Idadi ya watu la Umoja wa Mataifa…
Kwanini Saratani ni tishio kwa mataifa yanayoendelea?
Siku ya Saratani duniani inaadhimishwa Februari 4 kila mwaka. Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa, kila mwaka wagonjwa wapya wapatao 50,000 hugundulika na saratani za aina mbalimbali Tanzania. Kati…
Dkt. Slaa afunguka Lissu kupigwa risasi, apinga rais kuongezewa muda wa uongozi
Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la…
ELIMU BURE: Utata, tafsiri potofu ya Waraka wa Elimu Namba 5 wa 2015
Siku chache zilizopita Rais John Magufuli alipiga marufuku michango ya aina yoyote katika shule za msingi na sekondari nchini kwa madai kuwa serikali inatoa elimu bila malipo, lakini agizo hilo…
DPP anyang’anywa mamlaka ya kuzuia dhamana kwa washtakiwa
Mahamaka ya Rufani imemwondolea Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) mamlaka ya kisheria ya kuzuia dhamana kwa washtakiwa wa makosa mbalimbali kabla ya kesi zao kutolewa uamuzi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya…
Kemikali za sumu bado tishio kwa uhai wa binadamu
Imeelezwa kuwa matukio ya watu kunywa sumu yameongezeka nchini na kuchangia vifo vya watu wanaokufa muda mfupi kabla ya kupatiwa huduma ya kwanza. Sumu ni kitu chochote kinachoweza kuua au…
“Wasiojulikana” washindwa kumfikia Lissu hospitalini
Wale wanaotajwa mara kwa mara kuwa ni “watu wasiojulikana” walikwama kumfikia na kumuua Tundu Lissu, akiwa amelazwa Hospitali ya Nairobi, Kenya. Taarifa za uhakika kutoka Nairobi zinaeleza kuwa vyombo vya usalama…
Dini, CCM, Mabadiliko na Kingunge
MENGI yaliandikwa, yanaandikwa na yataandikwa kuhusu maisha, elimu, kazi, familia na ushiriki wake katika siasa za Tanzania na maeneo mengine. Anayezungumzwa hapa ni Kingunge Ngombale Mwiru; mwanasiasa na mwanafalsafa kindakindaki…
MAZOEZI: Kutembea au kukimbia? Wataalamu watoa neno
Watu wanaofanya mazoezi ya kukimbia na kutembea wana mambo mengi yanayofanana. Wote wanatumia njia mbalimbali kufikia malengo ya kuimarisha afya ya mwili. Changamoto inajitokeza ni kwenye faida na hasara za…