Sakata la Askofu Kakobe kuwataka watawala kutubu lachukua sura mpya, TRA kumchunguza utajiri wake
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakusudia kuchunguza utajiri na ulipaji wa kodi wa Askofu Mkuu, Zachary Kakobe wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (F.G.B.F) ili kuihakikishia serikali mapato. Hatua…
Tathmini ya mwaka: Tanzania inatekeleza ipasavyo haki ya kuishi?
Kuishi ni haki ya msingi ambayo binadamu anatakiwa kuwa nayo ili apate stahili nyingine akiwa hai, lakini mifumo ya uongozi katika nchi mbalimbali imekuwa kikwazo kutekeleza haki hiyo na matokeo…
Utafiti: Ulaji wa samaki kuongeza uwezo wa kufikiri, kutibu matatizo ya kukosa usingizi
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania unaeleza kuwa watoto wanaokula samaki mara moja kwa wiki wanapata usingizi wa uhakika na uwezo wao kufikiri, kuelewa na kujifunza huongezeka mara nne…
Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji wa Tanzanite, serikali yashauriwa kuwawezesha wachimbaji wazawa
Imeelezwa kuwa ili Tanzania iwe kitovu cha uzalishaji wa vito vya madini ya Tanzanite, serikali na wadau wa madini nchini washirikiane na kutumia sheria kutatua migogoro baina yao na wachimbaji…
Sekta isiyo rasmi inachangia asilimia 41 ya Pato la ndani la Afrika, teknolojia mpya kuididimiza
Licha ya pato la ndani la bara la Africa kwa sehemu kubwa kuchangiwa na uchumi usio rasmi, serikali na mashirika ya kimataifa yakiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Kimataifa…
Mazingira: Mirija ya plastiki changamoto nyingine uhifadhi wa vyanzo vya maji
Na Daniel Samson Licha ya juhudi mbalimbali za serikali na wadau wa uhifadhi wa mazingira kuzuia matumizi ya mifuko ya plastiki, imeibuka aina nyingine ya plastiki ambayo isipodhibitiwa itahatarisha zaidi…
Mtaala wa elimu unavyoakisi ufaulu wa wanafunzi katika shule za msingi Tanzania
Elimu ni mfumo wa maarifa unaomwezesha mwanafunzi kupata ujuzi na stadi ambazo zitamsaidia kumudu mazingira yanayomzunguka. Lakini elimu huwa katika mfumo maalumu ambao unajulikana kama mtaala ulio na mpangilio wa…
Maaskofu wahimiza watawala kulinda misingi ya demokrasia nchini
Viongozi waandamizi wa serikali wametakiwa kudumisha na kulinda amani ya nchi kwa kuruhusu uhuru wa kutoa maoni na kuhimiza uvumilivu wa kisiasa miongoni mwa jamii. Wito huo umetolewa kwa nyakati…
Ukosefu wa elimu ya matunzo wachochea kansa ya ngozi kwa ‘Albino’
“Nina ndoto kwamba siku moja nchini Tanzania, watu wenye albinism watachukua nafasi yao inayostahili katika ngazi za jamii. Na kwamba siku za ubaguzi dhidi ya watu wenye ‘albinism’ zitakuwa kumbukumbu…