Ulevi bado tishio kwa watumiaji wa barabara, mabadiliko ya sheria yanahitajika kupunguza ajali
Katika maeneo mbalimbali duniani kunywa pombe ni suala la kawaida katika mikusanyiko ya kijamii. Lakini matumizi ya vilevi humuweka mtu katika hatari ya kudhurika kiafya na kuathirika kisaikolojia ikiwa matumizi…
Wanafunzi Vyuo Vikuu wataabika kwa kukosa mikopo, TSSF yadhamiria kuwasaidia.
Katika kukabiliana na changamoto ya mikopo katika elimu ya juu, wanafunzi waliokosa mikopo wametakiwa kuwasilisha maombi yao kwa asasi za kiraia ili wapatiwe fedha kwa ajili ya kugharamia masomo yao.…
Bajeti ya Afya: Matumizi yategemea wahisani, wananchi shakani kupata huduma bora
Daniel Samson Afya bora ni sehemu muhimu ya kumuwezesha mwanadamu kutekeleza majukumu ya uzalishaji mali. Lakini ufinyu wa bajeti inayotengwa na serikali katika sekta ya afya huwa changamoto kwa wananchi…
TAHADHARI: Mvua mikoa ya Pwani, Wakulima washauriwa kulima mazao yanayokomaa kwa muda mfupi
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) nchini imewashauri wananchi wa mikoa ya kanda ya Pwani kuchukua tahadhari stahiki ya kutokana na vipindi vya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika maeneo…
Ugonjwa wa Mafua ya Ndege waikumba Madagascar, Tanzania hatarini kuupata
Nchi tisa za Afrika ziko katika hatari ya kukumbwa na ugonjwa wa mafua ya ndege, na tahadhari imetakiwa kuchukuliwa dhidi ya ugonjwa huo ambao unaenezwa kwa njia ya hewa. Tahadhari…
Saa 10 za Zitto mikononi mwa polisi
Siku moja baada ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu kutoa ufafanuzi wa hali ya uchumi nchini, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amekamatwa na kuhojiwa na polisi…
Athari za ubinafsishaji zinavyoligharimu taifa
Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli aliweka bayana namna anavyochukia ubinafsishaji wa nyenzo za uzalishaji kama ilivyofanywa na watangulizi wake. Akieleza wazi ya kuwa, watangulizi wake walifanya kosa kubwa sana…
Walimu kufundisha masomo wasiyoyafahamu kunadidimiza ubora wa elimu nchini
Mwalimu ni mtu muhimu katika kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa yaliyokusudiwa akiwa darasani, japo mwanafunzi anatakiwa kusoma kwa bidii lakini mwalimu ana nafasi kubwa ya kufanikisha au kuzuia ndoto za mwanafunzi…
Tafiti: Nyenzo muhimu kukuza uchumi wa nchi
Mataifa mengi yaliyopiga hatua za maendeleo waliwekeza vilivyo katika tafiti. Tafiti hizo zilitokana na mapato ya ndani ya nchi hizo husika na hazikutokana na misaada ama zawadi kutoka kwenye nchi…