Utashi wa kisiasa kuinusuru Dar es Salaam dhidi ya uharibifu wa mazingira

November 30 hadi Disemba 2, 2016 kule Mexico ulifanyika mkutano wa mwaka wa viongozi wa majiji makubwa duniani ujulikanao kama ‘C40 Mayor’s Summit’. Mkutano huo uliwakutanisha Mameya na viongozi kutoka…

Jamii Africa

Magufuli avitaka vyombo vya dola kuwafikisha mahakamani wanaobadili takwimu za serikali

Rais John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuwafikisha mahakamani watu wanaobadilisha takwimu zinazotolewa na serikali na kuwapotosha watanzania. Akitoa maagizo hayo Ikulu leo wakati wa kuwatunuku vyeti  wajumbe wa Kamati…

Jamii Africa

Uelewa mdogo wa wananchi kudhoofisha harakati za upatikanaji wa katiba mpya

Matamanio ya watanzania wengi ni kuwa na katiba bora itakayoweza kusimamia rasilimali za nchi na kuhakikisha zinamnufaisha kila mwananchi na kuwa na ustawi mzuri wa jamii. Licha ya matamanio hayo…

Jamii Africa

Zitto abariki wanachama kuondoka ACT Wazalendo

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema  chama chake kitaendelea kuikosoa serikali pale inapokosea na kutetea maslahi ya taifa. Akizungumza leo na vyombo vya habari katika Makao…

Jamii Africa

Je ni sawa kufanya mazoezi kabla ya kula?

Mazoezi ni sehemu muhimu ya kuufanya mwili kuwa imara na wenye afya, lakini kumekuwa na mijadala mbalimbali juu ya kufanya mazoezi ukiwa na njaa au tayari umekula chakula. Baadhi ya…

Jamii Africa

Acacia yakataa kuilipa Tanzania fidia ya bilioni 700

Siku moja baada ya serikali kutangaza makubaliano yaliyofikiwa na kampuni ya Barrick kulipa fidia ya bilioni 700,  Kurugenzi ya fedha ya kampuni ya Acacia imesema haina fedha za kuilipa Tanzania…

Jamii Africa

Prof. Kabudi atoa ufafanuzi wa mgawanyo wa faida ya 50/50 kati ya Barrick na Serikali ya Tanzania.

Ikiwa imepita siku moja baada ya serikali na Kampuni ya madini ya dhahabu ya Barrick kukubaliana kugawana faida ya 50 kwa 50, Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Balamagamba Kabudi…

Jamii Africa

Wachimbaji wa madini watahadharishwa ujio wa mvua za msimu

Mabadiliko ya tabia nchi ni mtiririko wa mfumo wa mabadiliko ya hali ya hewa yanayochukua muda mrefu au mfupi na kusababisha hali mbaya za hewa ama uchache wa hali inayohitajika…

Jamii Africa

Asilimia 48 ya wananchi wanataka mchakato wa katiba uanze upya

Vuguvugu la kufufua mchakato wa Katiba Mpya limeendelea kujitokeza kwa sura mpya ambapo uchunguzi uliofanywa na Shirika la Twaweza unaoonyesha kuwa wananchi wengi wanataka katiba mpya inayoakisi matakwa yao. Akiwasilisha…

Jamii Africa