Uhaba wa maji unavyowatesa wakazi wa mtaa wa Golani
Saa 5 asubuhi napita mtaa wa Golani, kata ya Kimara katika jiji la Dar es salaam, watu wanaendelea na shughuli zao kuhakikisha uchumi unakaa vizuri. Ni mtaa ambao shughuli za…
Mazingira ya shule yanavyochochea unyanyasaji wa wanafunzi
Jamii imetakiwa kuwalinda watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia unaotokea katika shule za msingi ili kuwawezesha wanafunzi kupata elimu bora itakayowakomboa kifikra. Licha ya serikali kutoa elimu bure na kuongeza…
Kilimo cha kisasa cha kumkomboa mwanamke kiuchumi
Daniel Samson Nafasi ya mwanamke kukuza kilimo Tanzania Serikali ya Tanzania katika sera na mipango yake mbalimbali inatambua kuwa usawa wa kijinsia na kumuwezesha mwanamke ni silaha muhimu ya kuondokana…
TRA yaja na kanuni kudhibiti utoroshaji wa fedha nje ya nchi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wananchi wanaosafirisha fedha taslimu zaidi ya milioni 22.5 (Dola 10,000 za Kimarekani) nje ya nchi kujaza fomu yenye maelezo kuhusu fedha hizo ili kuiepusha nchi…
Mambo 13 yatakayokusaidia kukamilisha furaha katika maisha
Kila mtu anapenda kuwa na furaha, lakini kuna wakati huzuni hutawala na mtu kushindwa kufanya atakayo. Furaha haipatikani isipokuwa umechukua hatua kuitafuta. Ukitaka furaha katika maisha yako fanya mambo yafuatayo: Jitolee…
Mbunge ashawishika kutoa bima ya afya kwa wazee
katika kuelekea siku ya Wazee Duniani, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amewataka wazee wa kata katika jimbo hilo kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha ili wapate vitambulisho vitakavyowasaidia kupata…
Sababu za wanawake kuishi muda mrefu kuliko wanaume
Daniel Samson Kila binadamu aliyezaliwa huongezeka kimo kuanzia akiwa mtoto, kijana na hatua ya mwisho ni uzee na kifo. Kifo hakina kanuni na kinaweza kumpata mtu yoyote wakati wowote. Matarajio…
Viwanda vya chaki Singida kuchochea mageuzi ya kiuchumi nchini
Chaki ni bidhaa inayohitajika sana katika soko la Tanzania hasa kipindi hiki ambacho serikali imeweka mkazo kuinua ubora wa elimu kwa kuandikisha wanafunzi wengi. Chaki hutengenezwa kwa kutumia madini…
Serikali yawasilisha rasimu ya kanuni kusimamia mitandao ya kijamii na utangazaji
Katika kile kinachotajwa kubana uhuru wa kujieleza na haki ya kupata habari, serikali imeendelea na mchakato wa kuandaa kanuni zitakazosimamia maudhui ya mitandao ya kijamii na utangazaji ili kulinda maslai…