Mpango wa Afya Bora kwa wote unaendelea kusuasua Tanzania
MPANGO wa Afya Bora kwa Wote (Universal Health Coverage) bado unasuasua Tanzania. Mpango huu wa dunia wenye historia ndefu na ambao unapigiwa chepuo na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa…
Ndani ya Manispaa ya Dodoma, mwalimu mmoja wa shule ya msingi anafundisha wanafunzi 151
KUSITISHWA kwa ajira za watumishi wa umma wakiwemo walimu kumeipa mzigo mzito Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma ambapo mwalimu mmoja anafundisha watoto 151, FikraPevu inaripoti. Uchunguzi uliofanywa kwa takriban wiki…
Uhaba na uchafu wa vyoo shuleni unahatarisha afya za wanafunzi jijini Dar es Salaam
MAZINGIRA bora ya kufundishia na kujifunzia katika shule ni kichocheo kwa wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao na kupata ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kutatua changamoto Za maisha. Lakini shule nyingi…
Je, demokrasia ni sehemu muhimu katika maendeleo ya nchi?
KWA takribani miaka mia mbili na zaidi dunia imetawaliwa na mfumo mmoja wa kuleta maendeleo ukiasisiwa kwa mawazo na shinikizo kutoka kwenye nchi za Magharibi na Marekani. Nchi za Magharibi…
Songea: Watumia dawa za kulevya waongoza kwa maambukizi ya UKIMWI
MADHARA ya kutumia dawa za kulevya ni mengi. Na yote ni mabaya. Hakuna jema hata moja. Wanaotumia dawa hizo, ikiwamo Cocaine, Heroine, bangi na nyingine, hupata hasara ya mwili kukosa…
Magugumaji Ziwa Victoria yaelekea kuishinda serikali, wafadhili
ZAIDI ya miaka 25, tangu kuanza kumea kwa magugumaji katika Ziwa Victoria, hasa upande wa Tanzania – eneo la Mwanza, bado serikali, kwa kushirikiana na wafadhili, inahangaika kuyaondoa. Kuhangaika huko,…
Hatua zichukuliwe sasa kuokoa shule za sekondari za serikali
MATOKEO ya kidato cha nne yalitangazwa mwezi Januari 31 2016, huku shule kumi bora zilizofanya vizuri kitaifa zote zikiwa za binafsi. Watahiniwa kumi bora wote nao walitoka shule za binafsi.…
Walaji wa samaki hatarini. Zebaki yaongezeka maji ya Ziwa Victoria
“MWANZA ohhh Mwanza, Mwanza mji mzuri ohhh, Mwanza nitarudi Mwanza, Mwanza nitakuja tena….” Hiki ni kibwagizo cha wimbo maarufu wa Mwanza, uliotungwa na kuimbwa na gwiji la muziki wa dansi…
Vifo vyashamiri kwa wanaotoa mimba Tanzania. Wazanzibari wafanya ngono wakijitambua
WANAWAKE 390,000, kati ya milioni moja, nchini Tanzania hutoa mimba kila mwaka kwa njia za kinenyeji. FikraPevu imeelezwa kuwa idadi hiyo (milioni moja) inawahusu wanawake wanaopata mimba zisizotarajiwa kwa kufanya…