Katavi: Maiti wataabika, majokofu mabovu
MAJOKOFU ya kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi ni mabovu. Hali hiyo inasababisha maiti wanaohifadhiwa katika chumba maalum kutunzia miili ya wafu, kuharibika…
Katavi: Madawati bado yatesa wanafunzi, wanakaa sakafuni
MIONGONI mwa mafanikio ya harakaharaka ya uongozi wa Rais John Magufuli tangu aingie madarakani, Novemba 5, mwaka jana, ni wingi wa madawati katika shule nchini. Idadi kubwa ya shule, hasa…
Sakata la dawa za kulevya Dar es Salaam lazima mjadala wa kufeli wanafunzi
MJADALA mkali ulioshika kasi kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, kuhusu Mkoa wa Dar es salaam kushika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne kitaifa yaliyotangazwa Januari 31 mwaka huu, sasa umeyeyuka.…
Serengeti Boys yafanikiwa kucheza Fainali za Afrika. Waziri Nape, Malinzi wapongeza
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Vijana umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) imefuzu kucheza Fainali za Afrika. Habari zilizoifikia FikraPevu toka jijini Libreville ambapo Kamati Tendaji ya Shirikisho…
Yabainika: Mjane wa Tanga aliyemlilia Rais Magufuli si tapeli. Nyaraka nyeti zaibuliwa
MJANE kutoka Tanga, Swabaha Mohamed Shosi aliyewashtaki baadhi ya watendaji wa Serikali kwa Rais John Magufuli hapo jana akidai kuzungushwa kupewa haki yake ya mirathi si tapeli kama inavyosambazwa mitandaoni,…
Uhusiano wa Marekani na Urusi: Trump, Putin wanauficha nini ulimwengu?
UHUSIANO wa Rais wa Marekani, Donald Trump na mwenzie wa Urusi, Vladimir Putin, umegubikwa na siri nzito. Katika mazungumzo yao ya Jumamosi – wiki iliyopita, kwa njia ya simu, Rais…
MBEYA: Wauguzi, mume na mke waacha kazi wakati Tume ikichunguza vyeti bandia
WAUGUZI wawili, akiwemo muuguzi mkuu wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Mbeya (Mbalizi Ifisi), Sikitu Mbilinyi, wameacha kazi ghafla. FikraPevu ina taarifa kuwa wameacha kazi wakati kukiwa na tume iliyoundwa…
CWT yapinga Waalimu kuvuliwa vyeo, kuburuzwa mahakamani na Wakuu wa Wilaya
Chama cha Waalimu nchini (CWT) kimepinga tabia ya wakuu wa Wilaya maeneo mbalimbali nchini kuwavua vyeo waalimu sababu ya matokeo mabovu ya kidato cha nne yaliyotangazwa Januari 31 mwaka huu.…
Hizi ndizo sababu zinazoifanya China kupiga hatua ya maendeleo kiuchumi na kiteknolojia
WENGI wetu tunadhani ili kuwa wa kisasa na kupata maendeleo lazima tuwe kama nchi za Magharibi, hasa Marekani, lakini ukweli hauko hivyo. Tunafikiri kuacha na kuua tamaduni zetu kama Waafrika…