Nyamongo drowns into economic limbo
RESIDENTS of Nyamongo in Tarime district are rolling rapidly to the grave of cultural extinction besides socio-economic doom as African Barrick Gold (ABG) enjoys weak implementation of laws governing land…
Sumu ya Cyanide yatishia maisha ya wakazi Geita
AFYA za wakazi wa Mkoa wa Geita ziko hatarini kufuatia kuzagaa kwa sumu aina ya Sayanaidi(Cyanide), inayotumika kwa ajili ya uchenjuaji wa dhahabu katika migodi mbaimbali.
More corruption involving Norwegian REDD funding in Tanzania?
In 2006, an evaluation of Norwegian aid to Tanzania revealed that about US$30 million had been lost to corruption and mismanagement in the Ministry of Natural Resources and Tourism. The…
Mfumo Mpya wa Mabenki kuruhusiwa kuhodhi Akaunti za Pesa za Kigeni kwa wateja wao…
Leo naomba tutazame kwa kina hili suala la kwenda na wakati na la kiutandawazi ambapo benki za kibiashara na za umma zimeruhusiwa kuwafungulia akaunti za pesa za kigeni wateja wake.
Mchochota wa Ini aina ya B – Ugonjwa hatari zaidi ya UKIMWI
INI huchuja sumu kutoka kwenye damu na kufanya kazi nyingine muhimu 500. Kwa sababu hiyo, Mchochota wa Ini, yaani, uvimbe katika Ini unaweza kuharibu afya ya mtu.
Mwanza: MV Victoria yanusurika kuteketea kwa Moto!
KWA mara nyingine tena, Serikali imeingia hasara baada ya Meli yake ya Mv. Victoria inayofanya safari zake kutoka Jijini Mwanza kwenda Bukoba mkoani Kagera, kuwaka moto muda mfupi baada ya…
Marupurupu yatangazwa watakao ajiriwa sekta ya afya Ileje
WAKATI watumishi wengi wakiwa wanakimbia wilaya ya Ileje mkoani Mbeya kutokana na kinachodaiwa kuwa ugumu wa mazingira. Watumishi watakao ajiriwa katika sekta ya afya wilayani humo, watanufaika na motisha itakayotolewa…
Viongozi wa hospitali kupuuza kanuni za afya, chanzo cha magonjwa
WANASHIKA mabomba, kuta za hospitali, vitanda vya wagonjwa na kuwasalimia kwa mikono wagonjwa wao. Baada ya kushika na kutoka nje ya hospitali hawanawi mikono yao. Hali hiyo nimeiona katika hospitali…
Licha ya kupuuzwa, Mkunga wa jadi azalisha wanawake 212 kwa miezi kumi
“SINA utaalam wa kisasa. Sijawahi kutembelewa na kiongozi wa Hospitali. Lakini jamii inanitambua na kuthamini mchango wangu kwa wajawazito wenye uhitaji wa kujifungua’’