Kwanini watu wanaopoteza utajiri ghafla wanakufa mapema?
Kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa nchini Marekani, watu wanaopoteza utajiri au mali zao ghafla wana uwezekano mkubwa kufa mapema kuliko wale ambao wanafirisika taratibu. Utafiti huo ulifanywa na watafiti…
Wajasiriamali, benki watofautiana mikopo ya uwekezaji
Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuweka mazingira mazuri ya utendaji wa sekta ya fedha ili kuongeza wigo wa uzalishaji, biashara na uwekezaji wa mitaji utakaochochea ukuaji wa uchumi. Kwa mujibu wa…
KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE: Wasomi wahoji uhuru wa kujieleza, utu, usawa na uadilifu wa viongozi
Wasomi nchini wamesema kuyumba kwa msingi ya umoja wa kitaifa, uwazi na uwajibikaji miongoni mwa viongozi na wananchi ni kikwazo kwa Tanzania kujenga amani ya kudumu na uchumi wa kati…
Mitandao ya kijamii kutumika mapambano dhidi ya biashara ya pembe za ndovu
Baada ya China kufunga biashara ya pembe za ndovu, mtandao wa watumiaji wa teknolojia duniani wameungana kukomesha biashara hiyo haramu na bidhaa zake inayofanyika mtandaoni. Hatua hiyo ni kuunga mkono…
Mawaziri wa Magufuli wafunguka ripoti ya CAG
Hatimaye mawaziri wa wizara zilitajwa kwenye ripoti ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) waanza kujitetea juu ya matumizi mabaya ya fedha yaliyotokea kwenye taasisi…
Unataka kuoa au kuolewa? Fahamu kundi la damu la mweza wako
Kuna vitu vingi vya kuzingatia unapomchagua mtu kuwa mwenza wa maisha yako. Jambo mojawapo la kuangalia ni kundi la damu. Sio kitu kinachozingatiwa na watu wengi wakati wa uchumba lakini…
CAG aibua madudu ya serikali. Akerwa na matumizi mabaya ya fedha za maendeleo
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad amewataka wabunge kuihoji serikali kwa kushindwa kutekeleza bajeti ya mwaka 2017/2018 licha ya ukusanyaji wa mapato kuongezeka. Akizungumza…
Neema ya maji yashuka kijiji cha Amani wilayani Tunduru lakini ina maumivu yake
Hatimaye wakazi wa vijiji vinne vya kata ya Namasakata wilayani Tunduru wameondokana na tatizo la ukosefu wa maji ya uhakika baada ya Benki ya Dunia (WB) kukamilisha mradi mkubwa wa…
Kwanini Polisi katika majiji makubwa bado wanatumia farasi?
Kila nchi inafanya juhudi mbalimbali kuwapa Askari wake vifaa vya kisasa kuimarisha utendaji wao. Hapo zamani, Polisi walikuwa wanatumia bastola au bunduki tu lakini Askari wa sasa au tunaweza kuwaita…