VIDEO: Ofisa wa TRA Arusha akichukua rushwa waziwazi!
Video hii imerekodiwa kutoka kwenye simu ya mkononi na inamuonyesha Ofisa wa TRA Arusha akipokea rushwa toka kwa mteja ili aweze kumhudumia. Ofisa huyu yupo mapokezi (reception) na inadaiwa ni…
CHADEMA yawavaa Kikwete, Bosi wa Usalama na IGP
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetuma ujumbe mzito kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Othman Rashid na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Said Mwema, juu…
TAFAKARI: Kilichomo kwenye ulimbwende, urembo na uzuri…
Urembo siku hizi ni mtaji au daraja la kupata mambo mengi maishani. Ukishabikia sana kujenga tabia njema ukasahau kuboresha urembo basi unaweza kupitwa na fursa mbalimbali ikiwemo uchumba na ndoa.…
Demoralised doctor looks for a way out
At the turn of the new millennium, Pius Buchukundi, a doctor working with a health facility in Biharamulo faced a dilemma not uncommon in rural Tanzania, and found a way…
Wanawake 906 wapoteza maisha kwa sababu za uzazi
LICHA ya Serikali kutambua na kusema kuwa Lengo la Milenia ni kufikia vifo 54 kwa kila vizazi hai 1,000 ifikapo mwaka 2015, wanawake 906 wamefariki dunia kwa matatizo ya uzazi…
Mtwara: Serikali inavunja nchi kwa kutosikiliza Wananchi!
Kwa wiki ya tatu mfululizo kumekuwa na malumbano kuhusiana na suala la ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam. Kumekuwa na madai yenye nguvu ya hoja…
Jinsi ya kujua kama Uzito wako unaendana na Kimo chako kiafya
BMI hupatikana kwa kugawanya Uzito (Weight in Kg) kwa (Kimo mara Kimo) (Kimo/Height in M) au Uzito (Weight in Kg) gawanya kwa (Kimo mara Kimo) (Kimo/Height in Cm). Jibu utakalopata,…
Tusipoandika historia yetu, tusije laumu ikipotoshwa!
Wengi wangependa kujua/kusoma wasifu rasmi “biography/autobiography” wa wanasiasa kama Benjamin Mkapa, Dkt. Salim A. Salim (moja ya wanadiplomasia nguli ambaye alipata kuiongoza Umoja wa Afrika katika miaka ya 1989 hadi…
Je, Wajua kuwa tabia zako zaweza kukukosesha fursa?
Jamii yenye staha ni ile yenye mpangilio, yenye kuheshimu wengine, na inayojishindia heshima kutoka kwa wengine. Kwa vile tabia njema katika jamii ni kitu cha muhimu, basi tujue kuwa vivyo…