Magufuli: Eneo lolote tutakalogundua lina madini tutazungusha ukuta
Rais John Magufuli ameagiza watendaji wa Serikali kujenga kuta kuzunguka maeneo yote yenye rasilimali muhimu ikiwemo madini ili kudhibiti upotevu wa mapato na kuwanufaisha watanzania. Akizungumza leo katika hafla ya…
CSI yatoa mafunzo kwa wakunga, vifaa tiba kukabiliana na vifo vya wajawazito na watoto
Kwa mujibu wa Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) linaeleza kuwa watoto wachanga 7000 hufariki kila siku duniani kote ambapo ni sawa na watoto 21,000 kwa mwezi. Ripoti hiyo inafafanua kuwa…
Wakulima wa chai Kagera wamkalia kooni mwekezaji kuboresha maslahi yao
Serikali imesema kuwa haitasitisha mkataba na Mwekezaji wa Kampuni ya Chai Maruku, iliyoko mkoani Kagera, kwa sababu mgogoro wa malipo uliopo baina ya kampuni hiyo na wakulima pamoja na wafanyakazi…
Vita ya kibiashara kati ya China na Marekani yachukua sura mpya. China kuongeza ushuru wa bidhaa
Siku chache baada ya Marekani kutangaza kuwa itatoza ushuru wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 60, serikali ya China imejibu kwa kutoa masharti mapya kwa bidhaa zinazotoka Marekani kuingia…
Uminyaji wa Demokrasia ya vyama vingi waendelea ndani ya Bunge la Tanzania
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mohamed Mchengerwa ameitaka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuvifuta vyama vya siasa vinavyodaiwa kukiuka sheria na taratibu…
Mataifa makubwa hukopa wapi?
Hadi kufikia Januari 2018, Deni la taifa la nchi ya Uingereza lilikuwa limefikia dola za Marekani 2.5 trilioni, Japani dola trilioni 9.5, China dola trilioni 4.6, Marekani yenyewe dola trilioni…
Kwanini kuna feni, viyoyozi vinavyotoa upepo mkali kwenye milango ya maduka makubwa ya biashara?
Majengo mengi makubwa hasa yale ambayo milango yake hubaki wazi huwekwa feni au viyoyozi vikubwa kwenye milango ya kuingilia. Utausikia upepo huu mkali mara tu utakapoingia kwenye jengo husika. Unapotoka…
Kujipiga picha za ‘selfie’ kunavyoweza kuhatarisha maisha yako
Tunaishi katika dunia ambayo watu wengi wanapenda kujipiga picha ‘selfie’na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Tabia hiyo ya kujipiga selfie inatajwa kuwa ni mapinduzi makubwa ya tasnia ya upigaji picha…
Which way on tobacco; wealth or health?
There is a big fight going on in Tanzania just like anywhere in the world. The winning card is within ourselves. Tobacco is the center of the battle field. One…