UTAFITI: Wanaojipiga ‘Selfie’ hatarini kupata magonjwa ya akili
Imeelezwa kuwa tabia ya kujipiga picha mwenyewe (selfie) na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii ni ugonjwa wa akili ujulikanao kitaalamu 'Selfitis' ambapo mgonjwa wa tatizo hili hugunduliwa kwa idadi ya…
Mgongano wa mawazo unavyoathiri vita dhidi ya ufisadi Tanzania
"rushwa adui wa haki” ni msemo ulitumika sana na mwasisi wa taifa la Tanzania mwalimu Julius Nyerere katika harakati zake za kupinga utoaji na upokeaji rushwa ambayo ililenga kupotosha haki na…
Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar: Dk. Shein ahimiza uwazi, uwajibikaji serikalini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuanzia Aprili mwaka huu serikali yake itaanza kuwalipa wafanyakazi wa umma kima cha chini cha mshahara…
Wakulima Kilwa wageukia kilimo cha biashara, kukuza pato la familia
Wakaazi wa wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi wanategemea zao la korosho kama zao kuu la biashara na kusahau mazao mengine yanayoweza kubadili maisha yao kiuchumi. Sababu kuu ni kukosa…
China yaendelea kuneemeka kwa rasilimali za Tanzania, yasahau miradi ya mabadiliko ya hali ya hewa
Licha ya China kuwekeza mtaji mkubwa katika miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika ikiwemo Tanzania, imebainika kuwa nchi hiyo ina mchango mdogo katika mapambano dhidi ya athari za mabadiliko…
Wananchi vijijini kumilikishwa vyombo vya watumiaji maji
Serikali imeendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ili kuwapatia wananchi wote maji safi na salama. Imejiwekea malengo ya kuhakikisha ifikapo 2020 watu milioni 24 wapate maji ya uhakika ili kuwalinda dhidi ya…
Nape aishauri CCM kupima faida na hasara za kuwapokea wanachama wapya
Licha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kupokea wanachama kutoka upinzani ambapo leo chama hicho kimempokea Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Muslim Hassanali kimeshauriwa…
Nchi za Afrika zinahitaji madaktari mara 50 zaidi kukabiliana na vifo vya upasuaji
Mabadiliko ya mtindo wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye mafuta na kutofanya mazoezi umeongeza idadi ya watu wanaofanyiwa upasuaji katika nchi za Afrika na kuwaweka katika hatari ya kufariki…
Mtihani kidato cha pili: Ubora unapozidiwa na ufaulu wa wanafunzi
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha pili yaliyofanyika Novemba 2017 na kuonyesha kuwa asilimia 89.93 ya wanafunzi wamepata ujuzi na maarifa kuwawezesha kuendelea na masomo ya…