Maxence: Rais Magufuli anafanya vyema katika Mapambano dhidi ya Ufisadi lakini tunahitaji Taasisi imara
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akihojiwa na vyombo vya Reuters na Sauti ya Amerika(VoA) amesema Serikali ya Rais Magufuli imeonesha dhamira ya kisiasa ya kupambana na vitendo vya ufisadi…
Zitto azitaka taasisi za manunuzi kuchunguza zabuni ya ujenzi wa ndege wa Chato
Serikali imeshauriwa kuimarisha mifumo ya utoaji taarifa kwa kuzijengea uwezo taasisi zake na kuboresha sheria ili kuongeza uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika rasilimali muhimu za taifa. Akizungumza leo jijini…
Rushwa sekta ya maji yapungua kwa asilimia 26, mahitaji yaongezeka maradufu
Daniel Samson Sekta ya maji inagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu. Uhai wa binadamu kwa kiasi kikubwa unategemea uwepo wa maji lakini vitendo vya rushwa huathiri utolewaji wa huduma…
Wagonjwa zahanati ya Bujonde walala sakafuni, Waziri awalaumu viongozi kutowajibika
Zahanati ya Bujonde ni miongoni mwa zahanati 29 zilizomo katika Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya lakini siku za hivi karibuni imeibua mjadala kutokana na uchakavu wa miundombinu ambapo imewalazimu wagonjwa…
Viashiria hatarishi vyawatesa watendaji sekta ya elimu
Licha ya serikali kufanikiwa kuboresha miundombinu ya sekta ya elimu nchini lakini inakabiliwa na changamoto ya ufanisi na utendaji wa baadhi ya watendaji ambao wanashindwa kuendana na mabadiliko yanayotokea katika…
Wananchi kupewa jukwaa la kuwawajibisha viongozi
Uwazi na uwajibikaji katika jamii ni moja ya nguzo muhimu ya kuimarisha mfumo wa Demokrasia. Ili Demokrasia istawi na kuimarika ni lazima wananchi wapate nafasi ya kuzungumza kwa uwazi juu…
Mgawanyo usio sawa wa madaktari katika sekta ya afya kikwazo kingine kilichokosa majibu
“Afya njema ni msingi mkubwa wa maendeleo katika taifa. Nchi ambayo wananchi wake hawana afya njema kamwe haiwezi kupata maendeleo, hii ni kwa sababu mwananchi asiye na afya njema hawezi…
Pengo la walionacho na wasionacho linavyowanufaisha wanasiasa
Tanzania imekuwa na ukuaji mzuri wa uchumi lakini changamoto kubwa ni kuongezeka tofauti ya kipato kati wananchi wa kipato cha chini na matajiri hali inayoweza kuathiri mchakato wa kufikia uchumi…
Asilimia 40 ya vyanzo maji vimeharibika, serikali kuvuna maji ya mvua kukidhi mahitaji ya wananchi
Kutokana na ukuaji wa miji na viwanda, mahitaji ya maji nchini yameongezeka na kusababisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika maeneo ya vijijini na mijini, hali inayotishia kukwamisha juhudi za…