Wizi wa fedha mtandaoni unavyotikisa Tanzania
Daniel Samson Dunia inashuhudia maendeleo makubwa ya teknolojia ambapo matumizi ya simu za mkononi yameongezeka. Kutokana na teknolojia kuwa njia rahisi ya kutoa huduma, taasisi za fedha kama benki zinatumia…
Foleni vituo vya afya kikwazo kwa wananchi kupata huduma bora
Huduma bora za afya ni haki ya msingi ya kila mtu lakini changamoto katika sekta ya afya nchini huwa kikwazo kwa wananchi kuzipata huduma hizo kwa wakati. Uhaba wa madaktari…
Upungufu wa dawa katika vituo vya afya waongezeka kwa asilimia 70
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kusini mwa jangwa la Sahara iliyopiga hatua kubwa katika uboreshaji wa sekta ya afya na kupunguza vifo vya wajawazito, watoto na vifo vinavyotokana na…
Bima ya afya kuwahakikishia wazee huduma bora za matibabu
Na Daniel Samson Maendeleo mazuri ya afya ya mtu ni pamoja kuwa na uhakika wa kupata matibabu akiugua au kupata ajali. Bima ya afya ni njia mojawapo inayomuhakikishia mtu kupata…
Mauzo ya Dangote Cement yapaa kwa 12.6% ndani ya miezi sita
MAUZO ya saruji ya Dangote Cement, inayoongoza kwa uzalishaji wa saruji barani Afrika, yamepaa kwa asilimia 12.6 barani humo katika kipindi cha miezi sita kilichoishia Juni 30, 2017.
Kanuni mpya: Mchezaji asiyepimwa afya marufuku kucheza soka Tanzania
MCHEZAJI yeyote atakayesajiliwa msimu huu hataweza kupatiwa leseni ya kucheza soka ikiwa hatapimwa afya yake na kuidhinishwa kwamba ni mzima.
Ufungashaji na uwekaji nembo katika bidhaa kuwaingiza wajasiriamali kwenye soko la ushindani
UFUNGASHAJI bora wa bidhaa za kilimo pamoja na uwekaji wa nembo umeleezwa kwamba ndiyo njia pekee itakayowakomboa wajasiriamali ili kuingia kwenye soko la ushindani.
Miaka 56 baada ya Uhuru, Daraja la Mto Momba sasa kujengwa mwaka huu
KWA wakazi wa Kata ya Kipeta, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ujenzi wa Daraja la Mto Momba unaotarajiwa kuanza mwaka huu unaonekana kuwa ukombozi mpya kwao baada ya mateso ya…
Tanzanian education system need to be revolutionized
FOR many years, the Tanzanian educational system has been under scrutiny partly because the desired results as expected by many Tanzanians have not been materialized.