Hali bado tete upatikanaji wa maji katika vijiji vya Misungwi

Inawezekana wakazi wa  wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wakaendelea kusubiri kwa muda mrefu kabla ya kupata maji safi na yenye uhakika, kutokana na  miradi ya usambazaji maji kufika maeneo machache…

Jamii Africa

Serikali kushirikiana na Switzerland kuwajengea uwezo watumishi wa umma

Serikali imeiomba Switzeland kuangalia uwezekano wa kutoa mafunzo kwa madaktari Bingwa na kuwajengea uwezo watumishi wa umma ili kuongeza  ufanisi kati utoaji huduma kwa wananchi. Hayo yamebainishwa wakati wa Mkutano…

Jamii Africa

IFFEd yabeba jukumu la kuinua elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara

Rais mstaafu Jakaya Kikwete ameungana na makamishna wengine wa Tume ya Elimu ya Umoja wa Mataifa (UN) kuanzisha Mfuko wa kimataifa  elimu (IFFEd) ambao unalenga kutatua changamoto sugu za elimu…

Jamii Africa

Asimilia 43 ya watanzania kukimbilia ughaibuni wakipata fursa

Imebainika kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za Afrika ambazo raia wake wanapenda kuhama na kwenda kuishi nchi zingine hasa Marekani na Ulaya ikiwa watapata fedha na fursa zitakazowawezesha…

Jamii Africa

Wageni wanaoingia nchini kupimwa homa ya manjano

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema inaendelea kupima na kutoa chanzo ya ugonjwa wa homa ya manjano kwa wasafiri wanaoingia nchini ili kudhibiti maambukizi ya…

Jamii Africa

Israel yaadhimisha miaka 70 ya kujitawala. Tanzania yaendelea kuitambua Palestina

Leo Mei 14, Taifa la Israel linaadhimisha miaka 70 ya uhuru wake. Lakini sherehe hizo huenda zikachochea zaidi uhasama wa kisiasa katika eneo la Mashariki ya Kati ambalo limekuwa na…

Jamii Africa

Programu za jinsia shuleni kuvunja mnyororo wa ukatili kwa watoto Dar

Imeelezwa kuwa watoto yatima wako katika hatari kubwa ya kukumbwa na ukatili wa kijinsia na kuathiri ustawi wa maisha yao kiuchumi na kielimu. Vitendo vya ukatili dhidi ya watoto ni…

Jamii Africa

Tanzania, Zambia zaungana mapambano dhidi ya virusi vya Ebola

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa  amewatoa wasiwasi wananchi wa mkoa huo kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambao umeuikumba nchi ya jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo…

Jamii Africa

Kwanini ni vigumu kujifunza lugha mpya baada ya utoto?

Kila mtu anafahamu jinsi ilivyo ngumu kujifunza lugha  ya pili hasa unapokuwa mtu mzima. Katika utafiti mpya, wanasayansi wamebainisha kuwa kuna umri  ambao mwanadamu akifika itampa shida kujifunza lugha mpya…

Jamii Africa