Mahakama Kuu yazuia utekelezaji wa kanuni za Maudhui Mtandaoni
Ni zile zinazowataka wamiliki wa blogu na runinga za mtandaoni kupata leseni toka serikalini Wanaharakati wasema zinakiuka haki za msingi za binadamu Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imetoa zuio la…
Marekani, China zaingia vita mpya ya soya. Tanzania kunufaika na vita hiyo?
China imethibitisha kusitisha uagizaji wa maharage aina ya soya kutoka Marekani ikiwa ni hatua inazozichukua kujibu mapigo kwenye vita ya kibiashara inayoendelea baina ya mataifa hayo mawili. China ambayo ni…
Jinsi Intaneti inavyofanya kazi kwenye ndege
Intaneti iko kila mahali. Inapatikana ofisini, kwenye maduka makubwa, hata vituo vya mabasi utaipata huduma hiyo. Sio tena anasa lakini kiuhalisia ni fahari na haki ya kuzaliwa hasa kwa wakazi…
Safari bado ni ndefu kuelekea uhuru wa kweli kwa vyombo vya Habari Tanzania
Tanzania inaungana na nchi zingine duniani kusherekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani huku kukiwa sintofahamu ya uhai wa vyombo hivyo kutokana na baadhi ya matukio yanayoendelea nchini,…
Waziri wa Magufuli akiri ongezeko la umaskini kwa wananchi licha ya kuimarika kwa uchumi
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema kutokuwepo kwa uwiano kati ya ukuaji wa uchumi na sekta ya kilimo ndiyo sababu kubwa ya wananchi wengi kuendelea kuwa maskini…
‘Stiegler’s Gorge’ na malumbano ya kumaliza tatizo la umeme nchini
Benki ya Dunia imesema wananchi milioni 600 hawana umeme kuendesha shughuli zao za maendeleo hali inayokwamisha ukuaji wa uchumi na upatikanaji wa huduma za kijamii. Siku chache zilizopita, Benki ya…
Utabiri wa hali hewa na maisha halisi ya mwanadamu
Ni kawaida ya watu wengi kuangalia utabiri wa hali ya hewa kabla ya kutoka nyumbani na kwenda katika majukumu ya kila siku. Tunapata taarifa za hali ya hewa kupitia vyombo…
Uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi madarasa ya awali bado ni kitendawili
Imeelezwa kuwa uhaba wa walimu na mlundikano wa wanafunzi katika madarasa ya awali ni kikwazo kwa Tanzania kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu ya 2030 yanayohimiza utolewaji wa elimu bora na…
Muingiliano wa kisiasa unavyoathiri ukuaji wa sekta ya ajira nchini
Imeelezwa kuwa muingiliano wa kisiasa katika kazi za kitaaluma kwenye ofisi za umma kunazuia wataalamu kufanya kazi kwa huru na kutoa huduma bora kwa wananchi. Kwa mujibu wa Ripoti ya…