DODOMA: Watu wanne, wakiwemo watatu wa familia moja, wapoteza maisha katika mafuriko Mpwapwa
WATU wanne, wakiwemo watatu wa familia moja, wamepoteza maisha katika mafuriko yaliyotokea wilayani Mpwapwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, FikraPevu inaripoti. Taarifa kutoka eneo la tukio zimeeleza…
Usafiri wa treni Dar na maafa yanayonukia
NI majira ya saa 11:15 jioni wakati FikraPevu inapowasili katika stesheni kuu jijini Dar es Salaam ili kupata usafiri wa kuelekea Gongo la Mboto. Hali iliyopo katika kituo hicho inatisha…
Daktari mmoja kuhudumia wagonjwa 30,000 ni majanga kwa Tanzania
MWAKA 2016 wakati wa mojawapo ya vikao vya Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Rukwa, wajumbe walizizima kwa muda baada ya kupokea taarifa kuwa daktari mmoja mkoani humo alikuwa akihudumia…
Ripoti ya FikraPevu ‘yapeleka’ mwalimu mwingine kunusuru kufungwa shule Nyasa
SAA chache baada ya gazeti tando la FikraPevu kuripoti kuhusu shule yenye wanafunzi 195 kufundishwa na mwalimu mmoja, tayari Serikali imetuma mwalimu mwingine. Kuwasili kwa Mwalimu Charioni Mpombo kutoka Shule…
Wakulima Kisarawe wagoma kuchukua mbegu za muhogo
Bwana Shamba wa Kijiji cha Mhaga wilayani Kisarawe, David Shangali, akiwa pembeni ya shamba darasa la mihogo linaloangaliwa na uongozi wa kijiji hicho kwa ajili ya uzalishaji wa mbegu bora za…
Shule ya Msingi Mwighanji wilayani Singida yakumbwa na mauzauza
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwighanji wakiwa wamelala baada ya kudondoka kutokana na mauzauza yaliyoikumba shule hiyo. HALI ya watoto katika Shule ya Msingi Mwighanji, Tarafa ya Mgori wilayani Singida…
Nani wa kupigania haki za walemavu kwenye elimu?
Wanafunzi wenye ulemavu wa macho wa shule ya msingi Ruhila ya mkoani Ruvuma wakiwa darasani. KUMEKUWEPO na kampeni nyingi juu ya haki za Watanzania wenye ulemavu. Serikali imekuwa ikifanya kwa…
Wagonjwa wapya 300 wa ukoma wagundulika kila mwaka Tanzania
TAKRIBAN wagonjwa 300 wa ukoma hugundulika kila mwaka nchini Tanzania huku asilimia 10 wakiwa ni watoto, FikraPevu inaandika. Taarifa kutoka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto…
Tanzania bado imelala kuhusu madhara ya taka za kielektroniki
SERIKALI Kuu imekaa kimya. Haijasikika wala kuonekana ikichukua hatua kuzuia kutupwa hovyo kwa takataka zinazotokana na vifaa vya kielektroniki. Inawezekana kabisa kuwa serikali inapuuza kuchukua hatua kwa kuwa hazionekani kuwa…