Athari za Ukataji wa Miti katika Msitu wa Shengena…

“Biashara ya kupasua mbao ambayo inahatarisha kumaliza msitu wa Shengena haiwezi kwisha kwa kuwa kila siku watu wanakata miti hiyo na kuuziana wenyewe kwa wenyewe.”

Belinda Habibu

Ambulance ya kituo cha afya yakodishwa kwa wajawazito

UTARATIBU wa kituo cha afya cha Idodi, wilayani Iringa wa kukodisha gari lake la kubeba wagonjwa kwa kati ya Sh 20,000 na Sh 70,000 umeelezwa kuwaumiza wananchi wa kijiji cha…

Frank Leonard

Tanzania na Ushirikishwaji wa Wananchi katika Maendeleo ya Jamii

Katika maendeleo yoyote yale ili yawe endelevu na yenye manufaa kama kusudio lake lilivyopangwa, kuna vitu muhimu lazima kuzingataiwa likiwemo hili la ushirikishwaji (participation of community).

Innocent Urio

Bunda walalamikia miundombinu ya Zahanati yao

WATOA huduma wa zahanati ya Bunda, wilayani Bunda mkoani Mara wameilalamikia miundombinu mibovu ya kituo hicho kwamba inaathiri utoaji huduma.

Frank Leonard

Mila na desturi, kikwazo cha wanaume kushiriki afya ya uzazi Tanzania

MILA na desturi ni kikwazo moja wapo kinachokwamisha malengo ya milenia ya kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya miaka mitano kufikia asilimia 75 kati ya vizazi hai 100,000…

Gordon Kalulunga

Huduma ya Uzazi wa Mpango kuboreshwa kuelekea 2015

MATUMIZI ya huduma za uzazi wa mpango nchini yameendelea kuwa chini kwa asilimia 27 huku serikali ikihadi yatafika asilimia 60 ifikapo mwaka 2015.

Frank Leonard

Utoaji mimba wakithiri Ifakara, wafanywa kwa kati ya Sh 30,000 na 85,000

WAKATI kutoa mimba kwa mujibu wa sheria ya Kanuni za Adhabu Sura ya 16 (kifungu cha 150 hadi 152) ni kosa la jinai, wilayani Kilombero mkoani Morogoro, huduma hiyo hutolewa…

Frank Leonard

Kenyatta asisitiza kuendeleza ushirikiano EAC

Rais mpya wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesisitiza kuendeleza ushirikiano katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwani amesema ni moja ya nguzo muhimu katika kipindi cha utawala wake.

Islam Mbaraka

Damu za watu zauzwa kati ya Sh.15,000 mpaka Sh. 20,000

Biashara ya ‘’viungo vya binadamu’’ imeibainika kuwepo wilayani Bunda mkoani Mara. Damu unit moja inauzwa kati ya Sh.15,000 mpaka 20,000 kisha kuwaongezea wagonjwa wenye upungufu wa damu hususani watoto na…

Gordon Kalulunga