Miundombinu duni, kikwazo cha kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga Tanzania
Sera ya afya ya mwaka 2007 inaeleza mipango madhubuti ya kuhakikisha huduma bora za afya zinapatikana katika kila kata ambapo kila kijiji inatakiwa kuwe na Zahanati na kila kata kuwe…
Shughuli za kiuchumi kwa Vijana wa Wilaya ya Kisarawe na changamoto zao
Kama ilivyo kwa vijana wengine hapa nchini, wale wa wilaya ya Kisarawe wanajihusisha na shughuli mbalimbali. Wilaya hii imejaliwa vitega uchumi vingi kama maliasili nyingi ( misitu, ufugaji wa nyuki,…
Elimu ya Utunzaji wa kumbukumbu wahitajika Wilaya ya Kishapu
Utunzaji wa kumbukumbu husaidia watu pale wanapotaka kuona walikotoka wapi kimahesabu,na kufanya tathimini ya mapungufu ama kujipongeza kwa kufanya vizuri.
Ijue Historia ya Umiliki wa Vitalu – Machimbo ya Tanzanite Mererani
Mererani ni jina la kata ya Wilaya ya Simanjiro katika Mkoa wa Manyara, Tanzania, kwa sasa eneo hili limepewa hadhi ya kuwa mji mdogo,na kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka…
Mapungufu ya Huduma Bora ya Afya Vijijini
Kilio cha upungufu wa vifaa tiba, wataalamu hawatoshi na miundombinu ya baadhi ya hospitali, vituo vya afya na zahanati kuwa mibovu ni moja ya sababu ya ongezeko la vifo vya…
Wachimbaji wa Madini wakijiunga pamoja wanaweza kumaliza changamoto zao!
Wachimbaji wadogo wakiwa katika umoja, wanaweza kumaliza changamoto mbalimbali zinazowakabili kama ukosefu wa mitaji, teknolojia na soko la kuuza wanachokizalisha.
WANAFUNZI 893 NA WALIMU 13 WA SHULE YA MSINGI MWADUI DDC WANATUMIA MATUNDU 16 TU YA VYOO.
Zaidi ya Wanafunzi 890 na walimu 13 wanatumia matundu 16 ya vyoo, shule ya msingi Mwadui DDC, katika kijiji cha Mwadui Lohumbo. Shule hiyo kongwe yenye miaka 68 ni miongoni…
UPUNGUFU WA DAWA HOSPITALI YA WILAYA YA KISARAWE NI MWIBA KWA WAKAZI WAKE.
Na: Belinda Habibu “Kama ningalijua sitapata dawa bora ningeenda tu duka la dawa nikanunue mwenyewe nimeze tu,kuliko kwenda katika hospitali hii halafu hupatiwi tiba halisi” Hayo ni maneno ya fundi…
KAMATI YA UKIMWI YAVUNJWA WAKATI IPO JAMII INAISHI KWA VIRUSI VYA UKIMWI MWADUI LOHUMBO.
Na: Belinda Habibu. Kamati ya ukimwi iliyoundwa mwaka 2008, imekufa kwasababu ya wanachama wengi kuhitaji posho ambayo haijulikani itatoka wapi. Hii ni kauli ya afisa mtendaji wa kijiji cha Mwadui…