MRADI WA VIPEPEO UTAKAVYOWANUFAISHA WAKAZI WA SAME-KILIMANJARO.
Wananchi wa wilaya ya Same wanaweza wakajikwamua na wimbi la umaskini kwa kujishughulisha na mradi wa vipepeo na kuviuza ndani na nje ya nchi. Vipepeo wa kila aina wanapatikana kati…
MITOBOZANO NA UMWAGAJI WA MAJI KATIKA MIGODI MERERANI.
Serikali imeweka utaratibu mzuri wa kuwatengea wachimbaji wadogo wa madini maeneo katika migodi mbalimbali ikiwemo ile ya Mererani, ili waweze nao kushiriki katika sekta hii. Wachimbaji wafanyakazi ,wamiliki wa migodi…
Sauti za wadau kuhusu nini kifanyike kuzuia Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Vijana watarajiwa wa kike wenye umri wa miaka 12-15,katika wilaya ya Ushirombo mkoani Geita wanajihusisha na masuala ya ngono. Sababu ya kiuchumi imetajwa kuwa ndio moja ya chanzo cha suala…
UPUNGUFU WA CHAKULA NA TATIZO LA MAJI MAGANZO.
Kijiji cha Maganzo kimo katika kata ya songwa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga,ambacho kina wakazi wapatao 11868,wanaume 7349 na wanawake 4519. Kijiji hiki kinakaribia kupewa hadhi ya kuwa mji mdogo…
JE UNAHIFAHAMU WILAYA YA KISARAWE
Wilaya ya Kisarawe ina jumla ya wakazi 95,614 wanawake wakiwa 47,271 na wanaume ni 48,343,kwa mujibu wa sense ya mwaka 2002 ya watu na makazi. Ongezeko la watu kwa mwaka…
KWAYA YA MT. CECILIA MERERANI YAJIZATITI KATIKA UINJILISHAJI KWA KUTUMIA WATOTO,VIJANA NA WAZEE.
Kwaya ya Mt. Cecilia Mirerani ni kati ya kwaya kongwe hapa nchini iliyoanzishwa zaidi ya miaka 15 iliyopita ikiwa na wanakwaya 40 wakati huo. Kwaya hii inapatikana katika mji mdogo…
Wajawazito wakosa Huduma za bure Hospitali Teule ya Wilaya ya Bunda
WASTANI wa wajawazito 200 wanajifungua kila mwezi, katika hospitali teule ya wilaya ya Bunda (BDDH) pamoja na kuzikosa huduma wanazostahili kupata bure. Kwa mujibu wa Sera ya Afya ya mwaka…
Vijana wajawazito wasimulia jinsi wanavyoishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi
ASELA Mahanga (18) na Happy Mdalingwa (19), ni wakazi wa kijiji cha Ifunda Kibaoni wilayani Iringa, mkoani Iringa. Wakati Februari mwaka huu, Asela alikuwa na ujauzito wa miezi minne, Happy …
Bila kuzingatia ukweli na ushahidi wa utafiti wa ndani, serikali haitatekeleza malengo ya milenia kufikia mwaka 2015
AFYA inatafsiliwa kuwa ni ukamilifu wa binadamu kimwili, kiakili na kijamii na kutokuwepo kwa maradhi na tafsiri hiyo ipo katika sera ya afya ya taifa ya mwaka 2007. Tunapozungumzia sera…