Bunda: Lishe duni yadaiwa kuwa chanzo cha kupungukiwa damu
Imeelezwa kwamba kukosekana kwa lishe bora kwa wajawazito na watoto katika wilaya ya Bunda, ni chanzo cha makundi hayo kupungukiwa damu.
Mpwapwa: Wanaochimba madini bila leseni kusakwa
WATU wanaofanya shughuli za uchimbaji na utafiti wa madini katika wilaya ya Mpwapwa bila vibali, wako hatarini kukamatwa na kufikishwa mahakamani kutokana na kukiuka sheria za nchi.
Baiskeli: Usafiri unaotegemewa na wajawazito Kyela
Wajawazito wa vijiji vya Masoko na Busoka vinavyopatikana kata ya Busale wilaya ya Kyela, wamekuwa wakitumia usafiri wa baiskeli wakati wa kwenda kupima maendeleo ya ujauzito katika zahanati ya Lema,…
Utunzaji nyaraka za serikali katika kijiji cha Magalata
NYARAKA mbalimbali za serikali na kumbukumbu za ofisi ya kijiji cha Magalata, kilichoko katika wilaya ya Kishapu, ziko hatarini kuharibika na kulowana na maji iwapo mvua zitanyesha.
Historia ya Shule ya Msingi Nachingwea imebaki katika ‘kava’ la daftari…
Historia ya shule ya msingi Kiegei katika kata ya Kiegei wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi, imebaki katika kava moja tu la daftari, lakini shule hiyo inakabiliwa na uhaba wa…
‘Hatuna daktari kwa miaka saba’
ZAHANATI ya kijiji cha Magalata, wilayani Kishapu, imekuwa ikitoa huduma kwa miaka saba chini ya wauguzi wasaidizi wawili ambao kitaaluma hawapaswi kutibu wagonjwa.
Imani za kishirikina na kasi ya malaria Butiama
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Butiama, Joseph Musagara, amesema imani za kishirikina zimechangia ugonjwa wa malaria kuwa tishio katika wilaya hiyo.
Mpwapwa: Ushauri wa DC ulivyowakuna wananchi
BAADHI ya wakazi wa kata ya Lumuma, wilaya ya Mpwapwa, wameunga mkono na kupongeza ushauri waliopewa na Mkuu wa wilaya hiyo, Christopher Kangoye, kuhusu soko la vitunguu.
If the Sumbawanga Magistrate Erred, What about these reckless Drivers?
Recently, I had a wonderful trip to one of the Lake zone regions whose inhabitants are traditionally known to have a violent temperament. In fact there is even a widespread…