Mkwamo wa elimu nchini ni matokeo ya usimamizi wa shule usioridhisha
Benki ya Dunia imeeleza kuwa watoto wengi wanaondikishwa katika shule za msingi nchini hawapati maarifa ya msingi kutokana na kukosekana kwa usimamizi wa walimu na wanafunzi wawapo shuleni. Kulingana na…
Jinsi ya kukabiliana na ‘Shambulio la Usingizi’ linaloambatana na kupooza
Umewahi kusikia hali ya kuishiwa nguvu au kushindwa kusogeza viungo vya mwili muda mfupi baada ya kulala au kumka? Au unakosa usingizi wa uhakika? Naamini watu wengi imewatokea hali hii…
Tanzania yaijia juu EU, Marekani mauaji ya raia wasio na hatia nchini
Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma kwamba inaminya demokrasia nchini na kusema kuwa imesikitishwa na matamko yaliotolewa na Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) na kuungwa mkono na baadhi ya balozi…
Ni wakati sahihi kwa wakulima kutumia teknolojia ya uhandisi jeni, mbegu za GMO?
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine duniani inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa ambayo yameathiri shughuli za kilimo ambazo zinategemea mvua msimu. Kutokana na hali hiyo baadhi ya…
Dkt. Mpango: Sekta ya kilimo inakwamishwa na ukosefu wa miundombinu ya umwagiliaji
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema nchi inakabiliwa na ukuaji mdogo wa sekta ya kilimo ambao unakwamishwa na ukosefu wa miundombinu ya umwagiliaji na unaweza kuathiri juhudi…
Watoto wanaoandikishwa madarasa ya awali hapati maarifa ya msingi kuendelea na masomo
Mtaala wa Elimu ya Awali Tanzania toleo la 2013 unabainisha kuwa elimu ya awali ni ngazi ya kwanza katika mfumo wa elimu ya Tanzania ambayo hutolewa kwa watoto wadogo kabla…
UJASUSI: Jinsi kijana wa kiume kutoka New Zealand alivyojaribu kumuua Malikia Elizabeth II
Shirika la Ujasusi la New Zealand (SIS) limethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba kulikuwa na jaribio la kumuua Malikia Elizabeth II wakati alipotembelea jiji la Kusini la Dunedin mwaka 1981.…
Japan yatoa bilioni 77.3 ujenzi wa barabara ya New Bagamoyo itakayotumiwa na mabasi ya mwendo kasi
Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), imeipatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 77.3 kwa ajili ya upanuzi wa barabara ya New Bagamoyo, kuanzia Morocco hadi Mwenge, Jijini…
Jumuiya za Kimataifa zachochea shinikizo la Kumuondoa Kabila madarakani
Botswana imemuomba Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC),Joseph Kabila kuachia madaraka haraka ili kuepusha kumwaga damu ya wananchi wasio na hatia. Serikali ya Botswana imeongeza shinikizo la kumtaka Rais…