Mashirika ya Tanzania yatuhumiwa kukithiri kwa uhalifu wa kiuchumi duniani

Daniel Samson Licha ya kuimarika kwa mapambano dhidi ya rushwa nchini, Tanzania bado iko kwenye kiwango cha juu cha uhalifu wa kiuchumi na udanganyifu mali unaotokea kwenye mashirika ya umma…

Jamii Africa

‘Washirika wa maendeleo’ kuiwezesha Tanzania kiuchumi

Serikali ya Tanzania imekubaliana na Washirika wa Maendeleo kurejesha uhusiano wa karibu na wenye tija ili kusaidia kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka Mitano pamoja…

Jamii Africa

Mgawanyo usio sawa wa huduma za jamii katika shule za msingi nchini unavyoathiri matokeo ya ujifunzaji kwa wanafunzi

Imeelezwa kuwa kukosekana kwa usawa wa utolewaji wa huduma za kijamii kwenye mfumo wa elimu kumeathiri matokeo ya ujifunzaji kwa wanafunzi wa shule za msingi nchini. Kulingana na ripoti ya…

Jamii Africa

Sh. 30 ya wakulima wa korosho kujenga vyoo, madarasa wilayani Tunduru

Waraka wa Elimu Namba 3 wa mwaka 2016 umeweka wazi  majukumu ya wadau mbalimbali wa elimu wakiwemo wazazi na serikali katika utekelezaji wa sera ya elimu bila malipo kwa shule…

Jamii Africa

Uhaba wa rasilimali watu, miundombinu kuikwamisha Tanzania safari ya viwanda

Benki ya Dunia  imeizishauri nchi za Africa ikiwemo Tanzania kuboresha mfumo wa utendaji wa taasisi za umma, miundombinu na kuwekeza kwenye rasilimali watu ili kukuza uchumi na kuwaondolea wananchi umaskini.…

Jamii Africa

Watoto 7,000 walio chini ya mwezi mmoja hufariki kila siku duniani. Tanzania yajidhatiti kumaliza vifo ifikapo 2030

Ripoti ya  Vifo vya watoto, UNICEF Februari 2018 inaeleza kwamba, kila mwaka watoto milioni 2.6 hufariki kabla ya kufikisha umri wa mwezi mmoja huku milioni 1 kati ya hao hufariki…

Jamii Africa

Arthritis: Maumivu ya viungo yaliyokosa tiba ya uhakika

Ipo dhana kuwa maumivu ya viungo vya mwili ni maradhi yanayowapata watu wenye umri mkubwa pekee. Lakini maumivu hayo yanaweza kumtokea mtu yoyote bila kujali umri. Kitaalamu maradhi hayo hujulikana…

Jamii Africa

Sababu 3  kwanini zaidi ya 50% ya ajali za barabarani hutokea karibu na makazi ya watu

Mwendo kasi inatajwa kuwa sababu kubwa inayosababisha ajali za barabarani, huku madereva wakilaumiwa kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa. Lakini kwanini ajali nyingi hutokea maeneo wanayoishi watu? Kulingana na uchunguzi uliofanywa…

Jamii Africa

‘Wasiojulikana’ waitia doa Tanzania. Jumuiya za Kimataifa zaingilia kati utekaji, mauaji ya raia wasio na hatia

Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) imeitaka serikali ya Tanzania kudumisha amani, utulivu na misingi ya demokrasia kwa kuhakikisha inawachukulia hatua za kisheria wale wote wanaohusika na utekaji na mauaji…

Jamii Africa