Ubakaji, ulawiti watoto usifumbiwe macho Kinondoni

Na Daniel Samson Kulingana Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 sehemu ya pili (II) inatoa wajibu na majukumu ya mzazi katika kumlea mtoto ambapo inaeleza kuwa “Kila mzazi atakuwa na wajibu na majukumu yaliyowekwa ama…

Jamii Africa

CCM inaadhimisha siku ya kuzaliwa “wasanii” wakiwa hawana chao

Katika muda mrefu wa maisha yangu ya utu uzima, Chama Cha Mapinduzi kinaadhimisha kuzaliwa kwake kikiwa ni chama chenye uhai zaidi, nguvu zaidi, kurudi kwenye njia yake ya kuwa Chama…

Fadhili Mpunji

Udumavu, utapiamlo wawatesa viongozi wa Afrika, wahaha kuokoa maisha ya watoto wanaokufa kila mwaka

Viongozi wa Afrika wamekubaliana kuondoa vikwazo vya lishe vinavyowazuia watoto na jamii kutambua na kutumia rasilimali zilizopo katika nchi zao. Viongozi hao walifikia uamuzi huo katika uzinduzi wa Programu ya…

Jamii Africa

Hati mpya za kusafiria kupatikana kwa 150,000, wananchi walalamikia kupanda kwa gharama za usajili

Rais John Magufuli amezindua rasmi utolewaji wa hati ya kusafiria ya kielektroniki ambayo itakuwa inapatikana kwa sh. 150,000 na itadumu kwa miaka kumi. Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dar es…

Jamii Africa

Bajeti ya serikali bado ni siri kwa wananchi, bunge lakosa nguvu kusimamia utekelezaji wake

Inaelezwa kuwa ukosefu wa taarifa na ushirikishwaji mdogo wa wananchi katika uandaaji na utekelezaji wa bajeti ni kikwazo  katika usimamizi wa rasilimali za umma. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Shirika…

Jamii Africa

Ufaulu kidato cha nne wapaa kwa 7.22%, vitendo vya udanganyifu vyatawala kwenye vyumba vya mitihani

Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne  uliofanyika mwaka 2017 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 7.22 huku vitendo vya udanganyifu vikiongezeka ukilinganisha…

Jamii Africa

Ifahamu Sera Mpya ya Nje ya Tanzania ya mwaka 2015

Diplomasia  ni nguzo muhimu ya kuimarisha mahusiano na mataifa mengine ya kikanda na kimataifa. Kwa kutambua hilo viongozi wetu tangu taifa letu linapata uhuru waliweka misingi ya ushirikiano wa kimataifa…

Jamii Africa

Wanafunzi shule za msingi Mtwara wasomea chini ya miti, ujenzi wa madarasa wasuasua

Siku chache baada ya kuripotiwa kwa wanafunzi 299 wa shule ya msingi Mitambo wilayani Mtwara kusomea chini ya miti, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali…

Jamii Africa

Ukosefu wa huduma za dharura za uzazi washamirisha vifo vya wajawazito Ilemela

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezitaka halmashauri zote nchini kuboresha huduma za dharura za uzazi katika vituo vya afya ili kupunguza vifo vya…

Jamii Africa