Mwanza: Mwanafunzi Kidato cha Sita atumbukia chooni na kufa!

MIEZI michache baada ya wanafunzi wa Shule ya Sengerema Sekondari iliyopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, kufanya maandamano kisha kuharibu baadhi ya mali za shule hiyo, wakidai kujengewa vyoo shuleni hapo,…

Sitta Tumma

Wanawake watakiwa kujitokeza kutibiwa ugonjwa wa fistula

WITO umetolewa kwa wanawake wanaosumbuliwa na tatizo la kutokwa na haja ndogo mfululizo na haja kubwa katika sehemu zao za siri kujitokeza kupata matibabu yanayotolewa bure katika hospitali teule ya…

Gordon Kalulunga

Sababu 5 hatari kwa watoto chini ya miaka mitano zinazosababisha vifo hizi hapa

1. Upungufu mkubwa wa damu. 2. Upungufu wa maji mwilini. 3. Dege dege. 4. Homa kali (Maralia).

Gordon Kalulunga

Mhudumu wa Bar anyofolewa kizazi na Daktari…!

JESHI la polisi wilayani Bunda linamshikilia afisa tabibu Michael Msimu 43 kwa tuhuma za kudaiwa kumtoa mimba mhudumu wa Club ya pombe za kisasa (bar) ijuliknayo kwa jina la Savana…

Gordon Kalulunga

Pembe za ndovu za sh. milioni 192 zakamatwa Namtumbo

KAMPUNI ya Game Frontiers Tanzania(GFT) inayojishughulisha na uwindaji wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, kwa kushirikiana na kikosi cha askari wanyamapori katika pori la akiba la Selous, wamefanikiwa kukamata pembe za ndovu…

Albano Midelo

Mahabusu yenye umri wa miaka 68

UNAPOFIKA kwenye ofisi ya kijiji cha Mwadui-Lohumbo, kilichopo mashariki mwa mji mdogo wa Maganzo, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, utakutana na  majengo yenye yaliyojengwa enzi za ukoloni wa Waingereza.

Kulwa Magwa

Safari yangu kuelekea kijiji cha Nyaminywiri

Safari yangu kuelekea Mkoa wa Pwani Wilaya ya Rufiji kata ya Kipugira katika kijiji cha Nyaminywiri, nikitokea Dar es salaam naweza kuiita ni safari ya tofauti si utofauti wa eneo…

Stella Mwaikusa

Uchimbaji wa Dhahabu kwenye Hifadhi unavyoharibu Mazingira

SHUGHULI za uchimbaji wa madini katika hifadhi ya Taifa ya Moyowosi wilayani Biharamulo Mkoani Kagera,zinadaiwa kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira unaotokana na ukataji wa miti katika hifadhi hiyo.

David Azaria

Daraja linalowawasumbua wakazi wa kata ya Subira (Songea) kwa miaka 30

Wakazi wa kata ya Subira katika Manispaa ya Songea  Mkoani Ruvuma,  wako katika hatari ya kusombwa na maji wakati wa kuvuka katika daraJa la kisiwani kitongoji cha Lihwena.

Mariam Mkumbaru