Sekta binafsi, gesi kumaliza tatizo la umeme nchini
Rais John Magufuli amesema hazima ya Serikali ya kujenga uchumi wa viwanda inaweza isifanikiwe ikiwa tatizo la upatikanaji wa umeme wa uhakika halitatatuliwa ili kuchochea uzalishaji wa bidhaa za kilimo…
Ukosefu wa vitamini D kwa wajawazito sababu kubwa watoto kupata Usonji
Duniani kote , Aprili 2 ya kila mwaka ni siku iliyotengwa kueneza ufahamu, kujenga uelewa na kukubali juu ya hali ya usonji, ambayo kitaalamu inajulikana kama “Autism”. Kaulimbiu ya mwaka…
UTAKATISHAJI FEDHA: Maana, dhana, na tafsiri ya kisheria nchini Tanzania
Kumekuwepo maswali kadha wa kadha toka kwa wadau wa Fikra Pevu wakitaka kujua maana ya UTAKATISHAJI FEDHA (Money laundering). Huenda hata wewe unayesoma makala hii umewahi kusikia neno hilo…
Unapenda kujilaza kitandani kwa muda mrefu? Hizi ndizo athari za kiafya unazoweza kuzipata
Kulala kwa muda mrefu kunahusishwa na matatizo ya kuharibika kwa ngozi na kupata maumivu ya viungo hasa mgongo. Pia kujilaza kitandani muda mrefu huusishwa na matatizo ya msongo wa mawazo,…
CHLOROFORM: Dawa ya usingizi inayotumiwa na wezi kuwapulizia watu kabla ya kuiba
Katika siku za hivi karibuni umezuka mjadala juu ya kukithiri kwa vitendo vya uhalifu unaohusisha wezi kuingia kwenye nyumba za watu nyakati za usiku na kuwapulizia dawa ya usingizi na…
OGP yaigharimu serikali. Yashutumiwa kuvuruga bajeti ya maendeleo
Serikali imeshauriwa kuongeza uwazi na uwajibikaji katika mchakato wa kuandaa na utekelezaji wa bajeti kuu ili kuhakikisha wananchi wanapata taarifa muhimu za vipaombele, miradi na maendeleo katika jamii. Akizungumza katika…
Kuna tofauti gani katika aina zote za dawa za meno?
Ukijaribu kwenda kwenye maduka makubwa utashangazwa na idadi ya dawa za meno utakazokutana nazo. Zipo aina nyingi na ni msululu wa dawa umepangwa kwenye makabati baadhi zikifanya kazi ya kung’arisha…
Teknolojia duni serikalini yakwamisha wananchi kupata taarifa za maendeleo
Kukosekana kwa mifumo rahisi ya teknolojia ya mawasiliano katika taasisi za umma na binafsi ni kikwazo kwa wananchi kupata taarifa muhimu za maendeleo katika maeneo yao. Inaelezwa kuwa taasisi nyingi…
Elimu duni, vitisho vyachangia asilimia 60 ya wananchi kukosa uhuru wa kumkosoa rais
Moja ya nguzo kuu za demokrasia ni uwepo wa uhuru na haki ya wananchi kuwa na maoni na kujieleza. Uhuru huo kimsingi huenda sambamba na uhuru wa vyombo vya habari na…