Mbunge Upendo Peneza kutumia vifungu vya katiba kuzuia uchaguzi wa marudio
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Geita, Upendo Peneza amesema anakusudia kuzuia uchaguzi mdogo wa marudio katika majimbo ambayo wabunge wake wamejiuzuru na kujiunga na vyama vingine ili kuokoa fedha…
Bajeti yakwamisha malipo ‘baada ya matokeo’ kwa walimu, AZAKI yajitokeza kuwalipa
Utulivu na usikivu wa mwanafunzi akiwa darasani ni hatua muhimu ya kupata maarifa kutoka kwa mwalimu anayemfundisha. Lakini shule zina utaratibu wa kutoa majaribio na mitihani kwa wanafunzi ili kubaini…
Serikali inapoteza bilioni 793 za walimu ‘watoro’
Utafiti wa taasisi ya Twaweza unaeleza serikali inapoteza bilioni 793 kila mwaka za mishahara ya walimu wa shule za msingi ambao hawatimizi majukumu yao ya kufundisha wanafunzi na kuhudhuria shuleni.…
NBS yashauriwa kuondoa utata wa takwimu za uchumi nchini
Wataalamu wa Shirika la Kimataifa la fedha (IMF) wameishauri Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kupitia na kuondoa utata wa takwimu za ukuaji wa uchumi ilizozitoa hivi karibuni ambazo zimeibua…
Wavamizi watishia kuliangamiza Bonde la Wami Ruvu
Sera ya maji ya mwaka 2002 inabainisha kuwa Matatizo mengine katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za maji hapa nchini yapo katika maeneo ya utunzaji wa rasilimali za maji katika Mabonde…
Sera ya Elimu Bure kuzirejesha shule za CCM mikononi mwa serikali
Rais wa Tanzania, John Magufuli ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuzirejesha serikalini shule za sekondari ambazo imeshindwa kuziendesha ili ziboreshwe na kutoa elimu bora kwa wanafunzi. Ametoa…
‘Mafuriko’ shuleni yanavyokwamisha wanafunzi kuelimika
Wananchi wakielemishwa wakaelimika ni faida kwa taifa. Kuelimika kunategemea ubora wa elimu inayotolewa ambayo hupimwa kwa vigezo mbalimbali, ikiwemo ujuzi na maarifa wanayopata wanafunzi wakiwa shuleni kusaida kutatua changamoto zilizopo…
Sababu za wanajeshi wa Tanzania kuendelea kulinda amani nchini Congo DRC
Inaelezwa kuwa vikosi vya jeshi la Tanzania kuendelea kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Congo DRC) licha ya kupoteza wanajeshi wake 14 katika shambulio dhidi ya waasi, inatajwa…
Ongezeko la bajeti isiyoendana na mahitaji ya lishe kuathiri afya za watoto nchini
Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado haijafanikiwa kutokomeza tatizo la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 5, jambo ambalo linaathiri maendeleo ya…