Kuporomoka majengo Dar: Tumekwama, tumeshindwa!
Sherehe za pasaka ziliingia dosari hususan kwa wakazi wa Dar es Salaam kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 mtaa wa Indira Gandhi katikati ya mji. Watu wengi wamejeruriwa na…
CCM tawi la Afrika Kusini yakanusha taarifa za kuhusishwa na utapeli…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la Afrika kusini kupitia Mwenyekiti wake Ndugu, Kelvin Nyamori, kimetoa taarifa za kusikitishwa na Habari zilizochapishwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, (tovuti yetu dada, JamiiForums…
Auawa kwa kuchinjwa na kuachanishwa kichwa na kiwiliwili; muuaji atembea na kichwa mtaani!
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mkazi mmoja wa mtaa wa Bugarika jijini Mwanza, Malimi Mathias ameuawa kikatili kwa kuchinjwa kisha kuachanishwa kichwa na kiwiliwili.
Usalama wa wanahabari na rushwa: Mjadala uliokwama
Leo tarehe 27 Machi 2013 ilikuwa siku nyingine ambapo wanahabari wameshindwa kufikia muafaka juu ya suala la usalama wao. Mjadala huu uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) lengo likiwa…
NGONO: Wanawake na Wanaume tunapoamua ‘kujiachia’ na Madhara yake…
Msomaji, nimeona vema nishirikiane nawe katika hii hoja ya kujiachia kwa miili yetu katika kufanya mapenzi na wapenzi wetu. Hapa ninaposema kujiachia sina maana kujiachia wakati wa faragha kufurahia tendo……
St. Aggrey kupunguza adha ya wataalam wa afya nchini
WANAFUNZI 120 wa chuo cha afya cha St Aggery College of Health Sciences kilichopo Jijini Mbeya wanatarajia kuhitimu mafunzo yao katika kada zaidi ya mbili mwaka huu 2013. Kada hizo…
SAMBARU: Kijiji kilichozungukwa na dhahabu kisichokuwa na ofisi
SERIKALI ya kijiji cha Sambaru, wilayani Ikungi, mkoa wa Singida, imekuwa ikifanyia shughuli zake sehemu yoyote, kutokana na kutokuwa na ofisi.
Wagonjwa wanaolazwa Kinesi hatarini kumbukizwa malaria
Wagonjwa wanaolazwa katika kituo cha afya cha Kinesi kilichopo kata ya Nyamunga wiayani Rotya, wako hatarini kuambukizwa malaria, kuytokama na kukosekana kwa vyandarua katika wodi mbili, zilizopo katika kituo hicho.
Choo cha serikali ya kijiji kinavyotisha!
CHOO cha ofisi ya serikali ya kijiji cha Magalata, wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, kiko katika hali mbaya kiasi kwamba mtu kukitumia lazima uvae ‘miwani ya mbao’.