Padri Raymond Mayanga: Tuidhihirishie dunia kama kweli tumekomaa na tujione kama watoto wa Mungu, taifa moja
Kufuatia msiba wa mwanafunzi wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala wakati wa maandamano ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)…
Rushwa haijapungua Tanzania, usalama wa wanahabari, AZAKI shakani
Licha ya taasisi ya Twaweza kuonyesha rushwa imepungua kwa asilimia 80, taasisi nyingine imejitokeza na kudai kuwa juhudi za kutokomeza rushwa nchini hazionyeshi mweleko mzuri kwasababu ya kupungua kwa uwazi…
Unataka kumiliki gari? Epuka makosa haya
Gari ni chombo cha usafiri ambacho hutumiwa na watu kwa shughuli mbalimbali. Gari linapoanza kutumika unakuwa mwanzo wa kupungua kwa thamani yake kulingana na matumizi ya dereva. Lakini habari njema…
EPA kutawala kikao cha wakuu wa nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki, Magufuli kutoa neno
Rais John Magufuli amewasili nchini Uganda kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotarajiwa kuanza ijumaa na kutawaliwa na ajenda ya kusainiwa kwa Mkataba wa Ushirikiano…
Tanzania yaikalia kooni China usafirishaji wa ngozi ya punda
Hatimaye China imeanza mpango wa kuzalisha mazao ya punda katika miji yake ili kukabiliana na zuio la baadhi ya nchi za Afrika ambazo zimepiga marufuku usafirishaji wa nyama na ngozi…
Utata wa vijana wanaoacha fursa za uzalishaji vijijini na kwenda mjini
Ripoti ya shirika la Chakula Dunia (FA0-2017) imeeleza kuwa ili Tanzania na nchi nyingine za Afrika zikamilishe Malengo Endelevu ya 2030 wanashauri kuzigeukia jamii za watu wanaoishi vijijini kwa kuboresha…
Viongozi Chadema waripoti polisi, waachiwa; Mbowe, Mashinji wako safarini
Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamewasili kwa mahojiano katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kufuatia wito wa Jeshi la Polisi uliotolewa siku ya…
Mbio za Urais 2018: Afrika kurudi kwenye mapigano au kuimarisha demokrasia?
Upepo wa mabadiliko unaendelea kuvuma Afrika hasa katika nchi zinazotarajia kufanya uchaguzi siku zijazo. Lakini mabadiliko ya madaraka sio kipimo chautawala bora kwasababu kwa Afrika sura mpya zinazoingia madarakani hazimaanishi…
Wazazi waitosa ‘Elimu bila Malipo’ wazigeukia shule binafsi
Licha ya wazazi wengi wa Tanzania kuwapeleka watoto wao kusoma katika shule za serikali, imebainika kuwa kwa wazazi nchini Kenya ni tofauti; wengi wao wanapendelea kuwapeleka watoto wao kwenye shule…