WAJIBIKA: Sekta ya manunuzi kinara wa rushwa serikalini, sekta binafsi nchini
Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG)aliyestaafu, Ludovic Utouh amesema mapambano ya rushwa nchini yanakwamishwa na biashara baina ya serikali na sekta binafsi hasa kwenye manunuzi ya huduma na…
Utamaduni wa Mtanzania: Kielelezo kilichobaki kuelekea uchumi wa viwanda
Tafsiri sahihi ya maendeleo inabaki kuwa gumzo katika jamii zetu. Wengi wetu hudhani tafsiri sahihi ya maendeleo ni vitu (material things) na wengine hudhani kuwa maendeleo ni hali ya uwepo…
Mambo 5 ambayo mtu hawezi kukwepa muda mfupi kabla ya kufa
Una majuto yoyote? Naamini watu wengi wana majuto (regrets) kwasababu wamefanya baadhi ya maamuzi yenye matokeo hasi au hawakufanikiwa kupata yale waliyoyatarajia yangetokea katika maisha yao. Lakini majuto yetu yanapata…
BENKI YA DUNIA: Tanzania iko chini ya wastani wa urahisi wa kiuchumi wa kuanzisha biashara
Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) imesema urahisi wa kuanzisha biashara nchini Tanzania uko chini ya wastani unaotakiwa na nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, sababu inayokwamisha…
Katika “Uchochezi” Sheria iko wazi. Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inafanya nini?
Mapema Januari 2018 vituo vitano vya runinga vilipigwa faini ya jumla ya shilingi milioni 60 baada ya Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusema kwamba walitangaza…
Waendesha bodaboda wanachangia asilimia 13 ya mimba za utotoni nchini
Kuna uhusiano gani kati ya bodaboda na ongezeko la mimba za utotoni kwa wasichana wanaosafiri umbali mrefu kwenda shule? Gazeti la The Guardian la Tanzania, linawaweka waendesha bodaboda kama kiini cha…
Mwigulu Nchemba azuia hati za kusafiria za watanzania wanaoenda utumwani nje ya nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesimamisha utoaji wa hati za kusafiria za makundi ya vijana wanaosafiri kwenda nje ya nchi kwa kuwa wananyanyaswa na kutumikishwa kwenye kazi hatarishi…
Kakao ilivyoboresha maisha ya wakulima Kilombero, Kyela; wajasiriamali wahimizwa kuchangamkia fursa ya soko
Kila mtu anapenda chokoleti (chocolate). Labda sio kila mtu lakini watu wengi wanapenda. Zao la kakao ambalo hutokana na mti wa Theobroma ndio hutumika kutengenezea chokoleti ambapo hutafsiriwa kama ‘chakula…
ACACIA : Makinikia yasababisha uzalishaji wa dhahabu kushuka kwa 30%
Kampuni ya madini ya Acacia Mining imetoa ripoti ya uzalishaji dhahabu kwa robo ya mwisho ya mwaka 2017 ikionyesha kushuka kwa uzalishaji wa dhahabu hadi kufikia asilimia 30 ikilinganishwa na…